CAG: Stendi ya Magufuli, Kibamba itaongeza foleni ya magari

Wewe jamaa utakua mkazi mwenzangu wa kibamba,barabara ya kuingilia mloganzila kutokea kisarawe,kinyerezi kama itaboreshwa ni njia moja nzuri sana
Pia daraja lililojengwa hapo mloganzila ndilo lilitakiwa likajengwe na pale mbezi ili magari ya goba. Kwenda maramba mawili yapite juu , hii mada ilijadiliwa sana hapa Jf kabla hata ya ujenzi, ila kuna watu humu walijiona mainjinia ati tusubiri hadi pakamilike .
 

CAG amesema stendi ya mabasi ya Magufuli iliyopo Kibamba manispaa ya Ubungo haikuwemo katika usanifu wa ujenzi wa barabara ya njia 8 kutoka Ubungo hadi Kibaha.

Kwa maana hiyo stendi ya Magufuli itaongeza msongamano wa magari tofauti na lengo la mradi huo wa barabara la kuondoa kabisa foleni kati ya Ubungo na Kibaha.

Ukinizingua Nitakuzingua!
...Kwanza KIBAMBA hakuna Stendi ya Magufuli. IPO Mbezi Mwisho.
Na hii ya Mbezi Mwisho hata kwa kuangalia tu kwa macho, ipo NNE Kabisa ya Hizi Njia Name zinapopaswa kuishia!
Hata flyover inayojengwa mbele ya Stand hiyo inathibitisha hili!
Hiyo iliyopo Kibamba ni ipi? Jitahidi kufanya Upembuzi Yakinifu kwanza wa unachotaka kuandika au usikiacho...!
 
Hii miezi kadhaa sometimes najifinya ili kuhakikisha kwamba sipo ndotoni au naagalia series za Pwagu na Pwaguzi
 
Huyo CAG huko niniujipendekeza ama ni nini!!??
foleni zipo kwenye mahesabu anayokagua!!??
Kitu kama hujui unyamaze mkuu
Kazi ya CAG ni kuhakikisha fedha za umma zinatumika kwa kufuata taratibu na sheria.
Umejengwa mradi sawa lakini je ujenzi wake umefuata taratibu zinazotakiwa?Ndio hapo anakuambia huo ujenzi haupo kwenye road plans za hiyo njia,kwa maana nyingine umepachikws tu juu kwa juu,kwa tafsiri nyingine matumizi mabaya ta pesa za umma.
Matojeo yake utayaona miaka ijayo kama ilivyokuwa ubungo jengo la tanesco

Sent from my SM-J730GM using JamiiForums mobile app
 
Kitu kama hujui unyamaze mkuu
Kazi ya CAG ni kuhakikisha fedha za umma zinatumika kwa kufuata taratibu na sheria.
Umejengwa mradi sawa lakini je ujenzi wake umefuata taratibu zinazotakiwa?Ndio hapo anakuambia huo ujenzi haupo kwenye road plans za hiyo njia,kwa maana nyingine umepachikws tu juu kwa juu,kwa tafsiri nyingine matumizi mabaya ta pesa za umma.
Matojeo yake utayaona miaka ijayo kama ilivyokuwa ubungo jengo la tanesco

Sent from my SM-J730GM using JamiiForums mobile app
Ww ndio hujui hapa....mnakuja na ushabiki wa kisiasa stpd
 
I have the same swali..NILIDHANI YA ROAD ndo wangeongea haya
Hivi CAG anakagua hesabu za serekali au kila kitu
Huyo CAG huko niniujipendekeza ama ni nini!!??
foleni zipo kwenye mahesabu anayokagua!!??
Nyie ndio hamjui kitu, CAG anakagua matumizi ya fedha kama yanafuata taratibu/sheria na thamani/faida iliyo/itakayopatikana kwa pesa husika!

Mfano labda imepitishwa bilioni200 kujenga barabara ya njia8 hadi kibaha.. lengo/faida ni kupunguza foleni kati ya Dar-kibaha na tathmini ya awali haikuona kikwazo cha kutimiza lengo, ghafla inajengwa Stendi uelekeo huo! Huoni lengo/faida ya kupunguza foleni itatia shaka?

Mradi usiotimiza lengo ni matumizi mabaya Ya fedha za UMMA kwa mujibu wa CAG
 
Kwani stendi imejengwa ndani ya hifadhi ya barabara? Tunafahumu mbezi - kimara kulikuwa na bomoabomoa, sasa inakuwaje wenyewe wanajenga ndani ya hifadhi.
Stand haipo kwenye hifadhi ya barabara isipokuwa ili mabasi kutoka kituoni ni LAZIMA yatasababisha foleni,anachoelezea CAG ni kuwa wakati wa ramani ya mradi wa njia 8 hakukukuwa na hiyo plan ya stand kuwa hapo ilipo hivyo imeleta MWINGILIANO,yamkini kama kwenye ramani wangeambiwa wangejuwa namna ya kufanya.

Ku mjumbe katoa wazo hapa labda waijenge barabara ya mpigi magoe inayopitia magwepande na kutokea bunju ili mabasi ya kaskazini yapite huko na yasiingie kabisa morogoro road.

Kwasasa kama umefanikiwa kuitumia hiyo stand asubuhi utaelewa anachokisema CAG kuna kuwa na foleni sana wakati wanatoka stand.
 
Back
Top Bottom