CAG Prof. Mussa Assad, azungumzia jambo muhimu sana kutibu kupanda kwa deni la Taifa. Tutumie Revenue Driven Budget and Not Expenditure Driven Budget

Huyu akisikilizwa tutafika mbali sana...
Anashauri uwajibikaji katika kila sekta, matumizi mazuri na yanayoendana na viambatanisho..
Kifupi anasema ukipata sh. 100, usitumie yote kwa kwa kudhani kuna hela fulani itaingia sijuwi toka wapi, yaani tutumie vizuri, tuweke akiba, na tutumie tunachokipata bila kuwalaza watoto nyumbani njaa kwa visingizio tunafanya ujenzi na kuboresha miundo mbinu bomani....
Watoto wakila, wakivaa, wakisoma na malezi mazuri, hayo maujenzi watafanya wenyewe...
 
Wakuu wa nchi wajitafakari Hii statement 'Use Revenue Driven Budget and NOT Expenditure Driven Budget'
Kama wataelewa basi itawasaidia sana though it's too late Damage ni kubwa kuliko tunavyodhani
Haya makusanyo wanayohubiri kila siku wanafikiri wanawadanganya wananchi lakini wanajidanganya na kulidanganya Taifa

Someone has to step in and knock their heads for them to understand OUR country is in a big shit!
Jiwe mkurupukaji, anadhani ataweza. Amini nakuambia hakuna atakalofanikiwa, hata mwaka huu haamii mpaka ngwe ya miaka mitano inaisha hata hamia Dodoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
profesa mwingine huyu wa kibongo anaeongea kwa kuji contradict kama vile issa shivji aliyesema CAG hana bosi, bosi wake ni katiba!

huyu anasema "tatizo letu ni expenditure driven budgets, huwezi kuwa na sustainable budget kama una expenditure driven budget"

Hapo hapo anasema sio tatizo letu sisi, ni nchi zote!

kwa hiyo dunia nzima hakuna nchi yenye sustainable budget? basi kumbe hii ni world-wide practice, we can't be that bad!

huyu nae ana suffer from footloose arguments, not least because of lousy journalists, no probing follow-up questions
 
Huyu ndio profesa sio yule kabudi kwanza anaangalia upepo, baadae anaishi kubadilika badilika rangi kama kinyonga
 
Pa
Wanabodi,

Watu kama hawa, wa type ya CAG Prof. Mussa Assad, ambao siku zote husema ukweli daima, ndio watu watakaolisaiia taifa letu kusonga mbele.

Msikilize hapa akizungumzia jinsi taifa letu linavyoweza kujikwamua na kutuna kwa deni la taifa.
Wanasiasa wanajivumia ujenzi wa miradi mikubwa kwa kutumia fedha za ndani, halafu tunakopo kutoka non concession loans, kutoka mabenki ya ndani na nje ili kugharimia bajeti ya serikali, hapa CAG Prof. Assad amezungumzia athari za kiuchumi za serikali kukopa kutoka mabenki ya ndani na kukua kwa deni la taifa kutokana na kukopa non concession loans toka mabenki ya nje.

Ametoa solution ni tutumie a revenue driven budget and not expenditure driven budget.
msikilize mwenyewe.


P.

Pascal please try to structure your questions to avoid yourself from narration.
 
17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom