CAG Prof. Mussa Assad amjibu Spika Ndugai, Asema Katiba ya JMT haina kifungu kinachomtaka ajieleze

Kamusi ya Assadi ipo wapi? Utuoneshe maana ya neno Dhaifu. Assadi namfahamu sana, ni Kiburi sana, na kujifanya anasimamia misimamo isiyo na kichwa wala miguu. Aondoke kwenye utumishi wa umma, awe mwanaharakati, huko atafaa zaidi. Kwenye utumishi wa umma kuna taratibu zake, huwezi enda huko nje ya nchi ukadhalilisha nchi yako. Ajitathmini, na achie ofisin.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pumbaaaaaavu wewe

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
  • Thanks
Reactions: prs
CAG ameamua kumjibu mheshimiwa spika baada ya press conference ya jana ambayo spika amemtaka ajiuzulu.

Katika majibu hayo CAG amebainisha vizuri akitumia vipengele vya Katiba kuainisha wajibu wake bila kutetereka.

Hii ngoma ni kali kweli kweli, maana hapa kuna msomi vs mwanasiasa.

Sijui mshindi ataibuka nani.
C.a.g . kaamua kujibizana na mgonjwa.
 
Habari ya ripoti ya CAG imefika vijijini. Watu wana mapenzi nae mno, akijiuzuru subirini maandamano ya nguvu kupinga kujiuzuru kwake.
Kijiji gani hicho aisee? Huku Njoro Kiteto watu hawaeleewi kitu wanandelea kuimba sifa za kijani tu!
 
Hizo hoja za CAG ziko wapi hapo?

Anyway, Ndugai hajui maana ya Separation of power, asijaribu kuuingiza mhimili wa serikali katika hili suala.
CAG hakusema Rais ni dhaifu alisema "Bunge lina udhaifu" na wala hakusema bunge ni dhaifu.

Ndugai apambane na hali yake!. Asitafute huruma ya Magufuli.
Na hakusema bunge ni dhaifu alisema kama yeye ametoa mapendekezo yake na bunge halija chukua hilo halitokuwa kosa langu bali huo utakuwa ni udhaidu wa bunge siyo ,

sumsung galaxy s10 oreo 8.0
 
Mkuu CAG yupo sahihi kwa hakika. Ni ajabu kuona Spika anaingiza siasa kwenye taaluma. Neno dhaifu kwa wakaguzi ni neno la kawaida.

Kuna udhaifu (weaknesses) kwenye vitu mbalimbali kama mfumo, utekelezaji au ufuatiliaji wa jambo na hili sio tusi au kashfa.

Spika asiwatafuatie watalaamu maneno ya kutumia au kutumia ambayo yatamfurahisha yeye
Kwa jinsi tusivyomuelewa huyu eti nae hamuelewi CAG,sisi tunatamani ajiuzulu yeye halafu eti anatuoa mipira kwa JICHO LETU,eti aondoke aache goli bila kipa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MBONA Lumumba kimya wanamuacha Kazi anaaibika huku.Yaani Kazi na CAG ni sawa na injini ya pikipiki vs injini ya bus
 
Ndugai apambane na hali yake!
Lakini si alisema 'atampeleka CAG Bungeni kwa pingu' wakati ule. Zile pingu hazipo tena? Kwa nini amhimize mtu aliye na madaraka juu yake 'ajiuzulu', badala ya kuamru tu akafungiwe ofisi yake!

Ndugai amejidhalilisha sana. Hata heshima ndogo aliyokuwa nayo ameipoteza.
 
Mwizi mkubwa yule hafai kuongoza hata kitongoji.
Muda utaamua

Sent using Jamii Forums mobile app

Siku alipozuia bungelive na kumuweka mtoto wa Dada kwenye kibubu tulishajua Hamna kitu pale.Kuna libosi lilikuwa likali kweli kweli kumbe lilitengeneza mazingira ya upigaji kupitia ukali linapiga ukali kweli kweli kumbe linavuta,waliomjua wakisema hamna kitu pale.
 
Duh... Nasikia ziliagizwa hadi kamusi kutoka Mombasa!
Hizo hoja za CAG ziko wapi hapo?

Anyway, Ndugai hajui maana ya Separation of power, asijaribu kuuingiza mhimili wa serikali katika hili suala.
CAG hakusema Rais ni dhaifu alisema "Bunge lina udhaifu" na wala hakusema bunge ni dhaifu.

Ndugai apambane na hali yake!. Asitafute huruma ya Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu CAG yupo sahihi kwa hakika. Ni ajabu kuona Spika anaingiza siasa kwenye taaluma. Neno dhaifu kwa wakaguzi ni neno la kawaida.

Kuna udhaifu (weaknesses) kwenye vitu mbalimbali kama mfumo, utekelezaji au ufuatiliaji wa jambo na hili sio tusi au kashfa.

Spika asiwatafuatie watalaamu maneno ya kutumia au kutumia ambayo yatamfurahisha yeye
neno hkili ni sawa na wanasiasa aanavyotuita wananchi wanyonge kwani sisi tunape da kuitwa wanyonge WAO DHAIFU SISI WANYONGE
 
Back
Top Bottom