Soma HapaAnakuwa sehemu ya bunge pale anapohutubia bunge na pale miswada ya kisheria inapojadiliwa ( parliament )
Ila kwenye vikao vya kila cku (national assembly ) hahusiki kamwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili yako unaijua mwenyeweKwani kuna mtu atadhulika kwa hilo unajipotezea muda wewe.
Ndugai ni mouthpiece ya Jiwe, wanachofanya ni harassment kwa CAG ili ajiuzulu.
Jiwe ni mwizi wa fedha za umma na CAG ni mlinzi, sasa anataka mlinzi aondolewe.
Tupe chanzo cha habari yakoCAG ameamua kumjibu mheshimiwa spika baada ya press conference ya jana ambayo spika amemtaka ajiuzulu.
Katika majibu hayo CAG amebainisha vizuri akitumia vipengele vya Katiba kuainisha wajibu wake bila kutetereka.
Hii ngoma ni kali kweli kweli, maana hapa kuna msomi vs mwanasiasa.
Sijui mshindi ataibuka nani.
Kamusi ya Assadi ipo wapi? Utuoneshe maana ya neno Dhaifu. Assadi namfahamu sana, ni Kiburi sana, na kujifanya anasimamia misimamo isiyo na kichwa wala miguu. Aondoke kwenye utumishi wa umma, awe mwanaharakati, huko atafaa zaidi. Kwenye utumishi wa umma kuna taratibu zake, huwezi enda huko nje ya nchi ukadhalilisha nchi yako. Ajitathmini, na achie ofisin.
Sent using Jamii Forums mobile app
CAG ni mtu mwenye akili timamu sio kama huyo vuvuzela wa dodomaAu CAG nae aseme hafanyi kazi na mtu mmoja tu Ndugai, ila atafanya kazi na Bunge na ofisi za bunge..
Bunge linatakiwa kuonesha kwamba halina udhaifu kwa kuisimamia serikali vizuri sio porojo vinginevyo litaendelea kua dhaifu na CAG haendi kokote wezi wakubwa nyieKamusi ya Assadi ipo wapi? Utuoneshe maana ya neno Dhaifu. Assadi namfahamu sana, ni Kiburi sana, na kujifanya anasimamia misimamo isiyo na kichwa wala miguu. Aondoke kwenye utumishi wa umma, awe mwanaharakati, huko atafaa zaidi. Kwenye utumishi wa umma kuna taratibu zake, huwezi enda huko nje ya nchi ukadhalilisha nchi yako. Ajitathmini, na achie ofisin.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudi kasome katiba uje uchangie upyaMihimili ya utawala iko mitatu lakini Rais wa Nchi ndo mkuu wa mihimili yote hiyo. Baada ya Uchaguzi Mkuu ni Rais anayelifungua Bunge rasmi,je kaka Rais siyo sehemu ya Bunge ni kwa nini alifungue? Majaji wa Mahakama Kuu huteuliwa na Rais, je Rais siyo sehemu ya Mahakama?
Unavo sema hivo mbn anaapishwa na Jaji, Rais siyo sehemu ya bunge ndy mihimili inavyofanya kazi pakawe. Ni kama anavyomteua CAG na hawezi muondoa hicihivi.Mihimili ya utawala iko mitatu lakini Rais wa Nchi ndo mkuu wa mihimili yote hiyo. Baada ya Uchaguzi Mkuu ni Rais anayelifungua Bunge rasmi,je kaka Rais siyo sehemu ya Bunge ni kwa nini alifungue? Majaji wa Mahakama Kuu huteuliwa na Rais, je Rais siyo sehemu ya Mahakama?
Mbona unaongea sana na kwann umshirikishe rais kwenye hili suala kwani ripoti ya CAG haijasomwa.Povu lako halieleweki useme tu unachuki na jpm kakuondolea mihimili yako yote ya kupata fedha kiharamu na ndio maana unamuingiza katika kesi ambayo ajaianzisha yeye.Muacheni apige kazi rais wetu na awashughulikie waujumi uchumi kama wewe.
Anayejiaibisha ni wewe bora ungepta kimyaNdu gay unajidhalilisha bhana bora unyamaze
Tunaomba source Tafadhali, umemnukuu kutoka wapi?CAG ameamua kumjibu mheshimiwa spika baada ya press conference ya jana ambayo spika amemtaka ajiuzulu.
Katika majibu hayo CAG amebainisha vizuri akitumia vipengele vya Katiba kuainisha wajibu wake bila kutetereka.
Hii ngoma ni kali kweli kweli, maana hapa kuna msomi vs mwanasiasa.
Sijui mshindi ataibuka nani.
Anayejiaibisha ni wewe bora ungepta kimyaNdu gay unajidhalilisha bhana bora unyamaze