CAG mstaafu Uttoh alikuwa sahihi kwamba kinacholipwa na baadhi ya mashirika siyo dividend bali ni kitu kingine

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,615
141,439
Rais Samia amesema menejimenti na bodi za baadhi ya mashirika wamekuwa wakitafuta fedha huku na kule waweze kulipa gawio serikalini ili kulinda ajira zao.

CPA Uttoh alisema dividend hulipwa kutoka kwenye faida na siyo vinginevyo.

Ramadhan Kareem!
 
atake asitake lazima tumuongeze muda tu.
IMG-20210422-WA0000.jpg
 
Jee wakati zinapokelewa huku ikiwa live na tv ya TBCCM walisema ni kitu kingine tofauti na gawio?

Au utaka kukiri alikuwa anatudanganya hali anajua ukweli?
 
Kuna kitu unalazimisha.
Mashirika ya umma na serikali vilitangaza kuwa lile ni gawiwo. (Japokuwa sote tunajua ule ulikuwa ni uongo).

Sasa mjadala sio kilipwa nini, mjadala ni uongo wa serikali na hayo mashirika kuhusu kulipa gawiwo. Ule ni wizi na uongo.
 
Hapa nazungumzia kauli ya Uttoh!
 
Yaani Samia "anawaluma" mataga halafu anawapuliza!

JPM ni Samia, na Samia ni JPM. .....but "zile JPM alizopokea hazikuwa gawio.....aliwaingiza chaka....huo ujinga mimi sipo tayari kuendelea nao" [hivyo ndivyo Rais anavyosema....japo kimoyomoyo]

Mwenye macho hambiwi tazama.
 
Mkuu yule jiwe hakutakiwa kuongoza hata tarafa
Alikuwa mwongo mwongo flani hivi halafu wasiokuwa na shule walimuamini..mfano ni huyu dogo mjinga johnthebaptist

Sasa enzi za marehemu hili gawio lilikua linapokelewa kwa sherehe maalum inayoandaliwa Ikulu.
Taasisi inakabidhi 3 billion kwa serikali alafu kwenye hotuba ya makabidhiano wanaiomba serikali iwasaidie 4.5 billion ya kujiendeshal
 
Mkuu yule jiwe hakutakiwa kuongoza hata tarafa
Alikuwa mwongo mwongo flani hivi halafu wasiokuwa na shule walimuamini..mfano ni huyu dogo mjinga johnthebaptist
Huyo johnthebaptist siyo dogo kiumri, ana umri wa kutosha tu kama mwendazake. Labda anaweza kuwa dogo kifikra, maana umri ni namba tu, unaweza kuwa na umri mkubwa lakini una mawazo ya kitoto.
 
Back
Top Bottom