CAG Mstaafu Ludovick Utouh: Bunge halisimamii mapendekezo ya CAG

Tukisema Serikali hii dhalimu imejaa wahuni, wezi, mafisadi, wanaojali maslahi yao kuliko ya Tanzania na Watanzania hatukosei. Bunge DHAIFU husababisha hasara kubwa kwa Wananchi na hukaribisha udikteta na unduli nchini.
 
Back
Top Bottom