CAG: Mradi wa Umeme wa Bwawa la Nyerere unatumia upembuzi wa mwaka 1970

Sioni sababu watu kupata pressure. CÀG ametuambia kuwa feasibility study iliyotumika ni ya miaka 50 uliyopita sasa ni juu kujiuliza je ni sahihi? Hivi unaweza kujenga nyumba/project kutegemea study ya miaka 10 uliyopita?
Hakuna cha kujiuliza hapo... study ya miaka 50 iliyopita itumike leo wakati kuna uwezekano wa mambo kubadirika.... VIPI kuhusu
1. Mabadiliko ya tabia nchi?
2. Vipi natural resources zilizokuwekupo eneo hilo wakati huo, bado zipo leo?
3. Ana za wanyama, kuna mpya au kuna viumbe waliotoweka?

etc
 
So what!!?
nyuzi za upondaji na watu wenye wivu zipo nyingi sana humu....nyuzi mojawapo hii hapa.
kazi nzuri za JPM zimeonekana.
Project zote za JPM lazima wazipondeponde kwanza kabla ya kuzifutilia mbali ili waendeleze zao za upigaji kama bandari ya bagamoyo. Tusahau kuhusu sgr, bwawa la nyerere sijui kupeleka umeme kila kijiji by 2023 na mingineyo. Sasa hivi tupo kwenye kipindi cha kutengeneza ulaji hadi tushibe ndio hayo maproject yenu yaendelee
 
Kila siku Jiwe Jiwe hamchoki? Nendeni mkavunie miradi aliyoasisi. JPM was a Hero. Hata mpotoshe vipi?
Asad aliposema 1.5T hazijulikani zilipo, maneno kama haya mliongea
Leo hii Kichere kayasema yaliyomo na tumejuwa ukweli kwa uwazi wake, bado mmeng'ang'ana bila hoja... TAGA, WEKA FACTS MEZANI
 
Project zote za JPM lazima wazipondeponde kwanza kabla ya kuzifutilia mbali ili waendeleze zao za upigaji kama bandari ya bagamoyo. Tusahau kuhusu sgr, bwawa la nyerere sijui kupeleka umeme kila kijiji by 2023 na mingineyo. Sasa hivi tupo kwenye kipindi cha kutengeneza ulaji hadi tushibe ndio hayo maproject yenu yaendelee
Kama upembuzi ukionesha miradi ni mibovu unataka tufanyeje? Je miradi ilikuwa na sababu za kitaalam au kuna mtu aliamka tu akasema jenga?
 
CAG ndo anateseka sio sisi mkuu

Sisi tulishateseka mpaka tukawa wapole siku nyingi.

Swali kweny: CAG alikua na ripoti mbili au ni hii hii alikua kajiandaa kumsomea Chuma??? Manaake sipatii picha ingekuwaje
Hakika hakuna azina njema kama matendo mema.
Eti umwambie Jiwe kitu kama ATCL ni rubbish project halafu uendelee kupumua?
 
Nchi ilikuwa inaendeshwa kwa utashi was MTU sheria zooote ziliwekwa pending!!
Kwa taratibu za kifedha karibu miradi yooote ya stoni itakuwa nje ya utaratibu!!
Kunahaja serikali yooote ijiuzulu tufanye uchaguzi upyaaa!! Stone hakushauriwa vyema na makamu wake,waziri mkuu,spika,bunge,chama nk.
Kama walijua hashauriki kwanini walituletea kama mgombea na wakawa wanamsifu kila dakika??
Kistaarabu serikali yooote ijiuzulu tuchague upya asisingiziwe MTU mmoja asiyeweza kurudi kuitetea!!!
  • bandari hovyo
  • atcl hovyo
  • utalii hovyo
  • mawasiliano hovyo
  • elimu hovyo
  • afya hovyo
  • demokrasia hovyo
Embu serikali istep down kidogo turudie uchaguzi maana Samoa alisema stone alikuwa mwalimu wake sasa kama mwalimu kaharibu hivi mwanafunzi wake je??
Umeongea point. Sema hakuna ambaye anaweza sikiliza....

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Sasa kama miradi haifai si mbomoe ili msikie vizuri.bomoeni kila kitu anzisheni vyenu.
Acheni Magu apumzike,enough is enough.
Hawezi akaachwa, mbona kwenye mazuri haachwi?mlituaminisha kila kitu alichokuwa akifanya ni cha uzalendo, kumbe uzalendo wenyewe ndio huu?!!mbona bado sana, yaani daaa heshima yake inapotea bado mapemaaa!!!huko mbungeni nako ndungai ameshamkimbia juu ya ujenzi wa bandari ya bagamoyo!!
 
Hatari pekee iliyopo kwenye mradi huu ni maji endelevu ya kujaza bwawa...

Ukitazama hali ya mto Ruaha nyakati ambazo si za mvua, kina chake kimeshuka sana...

Serikali inabidi ifanye juhudi za ziada kurejesha uendelevu wa maji kwenye mito yote inayolisha Rufiji...

Ninakumbuka kuna wakati January akiwa waziri wa mazingira, ni kama alianza shughulikia hilo lakini sijaona likiendelea kwa waliomfuata...
 

Mkuu umeua. Yaani huyo huyo ni kila kitu. Kweli ametuachia msala mkubwa mno. Yaani akifufuka nakuapia atakufa na asifufuke tena siku ya wafu kufufuliwa. Aibu juu ya aibu.
 
Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limeshindwa kuhuisha vipengele vyote vya upembuzi yakinifu uliofanyika awali katika ujenzi wa mradi wa umeme wa bwawa la Mwalimu Nyerere (JNHPP), imeeleza ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG).

Badala yake ripoti hiyo ya mwaka wa fedha unaoishia Juni 2020 imesema Tanesco lilitegemea upembuzi yakinifu ambao ulifanywa katika miaka ya 1970 na 1972 na kampuni ya M/S Norconsult ya Norway.

Pia shirika hilo linatumia mpango mtambuka wa mradi na ripoti ya uchunguzi wa kiufundi uliofanywa na kampuni ya M/S Hafslund na M/s Norplan pia kutoka Norway ambayo ilihuisha vipengele vya taarifa ya upembuzi yakinifu miaka ya 1980.

“Vipengele ambavyo havikufanyiwa mapitio na kuhuishwa ni pamoja na utafiti wa kiuchumi na kifedha wa mradi, tafiti za kuwepo kwa maji na uendeshaji endelevu wa mradi,” imesema ripoti hiyo.

Ripoti hiyo imesema maofisa waandamizi wa Tanesco waliozungumza na CAG walieleza kwamba, upembuzi yakinifu uliofanyika katika miaka ya 1970 ulionesha kwamba mradi unawezekana kitaalamu, kiuchumi na kifedha.

“Maofisa waliongeza kuwa kutokana na uharaka wa kuanza utekelezaji wa mradi, taarifa za upembuzi za awali hazikuweza kupitiwa upya zote ili kuzihuisha,” inaeleza.

Ripoti hiyo imesema kuhuishwa huko kwa upembuzi kunatakiwa kwa mujibu wa Sheria ya Umeme ya mwaka 2008, Sheria ya Umwagiliaji ya Kitaifa ya mwaka 2013, Sheria za Usimamizi ya Vyanzo vya Maji ya mwaka 2009 na Sheria ya Usimamizi wa Mazingira ya 2004.

Mwananchi
Kuna masheitwan hayakutaka JPM afanye chochote. Aliwaharibia miradi yao ya ma generator ya ku kufua umeme na ma deal kibao. Nchi hii ni tajiri ila kuna mchwa wengi wanaitafuna taratibu, tena kwa awamu hii ya 6 mbona watanona. Rest in perfect peace JPM, shujaa wa Afrika nzima.
 
Hawezi akaachwa, mbona kwenye mazuri haachwi?mlituaminisha kila kitu alichokuwa akifanya ni cha uzalendo, kumbe uzalendo wenyewe ndio huu?!!mbona bado sana, yaani daaa heshima yake inapotea bado mapemaaa!!!huko mbungeni nako ndungai ameshamkimbia juu ya ujenzi wa bandari ya bagamoyo!!
Ndio maana aliminya Sana Uhuru wa kutoa maoni....kumbe alikuwa anaficha madudu yake
 
Back
Top Bottom