CAG Ludovick Utoh aliibua madudu mengi bila kudhihaki taasisi!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,034
28,201
Huyu ndiye CAG bora wa muda wote nchini Tanzania ambaye aliibua madudu na kuzifanya taasisi za umma kushughulikia ufisadi na kuanza kuuchukia kwa dhati ufisadi.

He did it professionally na hakuwahi kuichukiza taasisi yoyote na hakuwahi kuchukiwa na taasisi au mtu yoyote zaidi aliheshimika sana hadi leo baada ya kustaafu.
 
Acha uongo, alifanyaje umma uchukie ufisadi?

Kwani huyu haibui madudu?

Kaibuwa madudu mengi sana! Bunge ndo dhaifu halichukui hatua kuhusu madudu hayo, inaonekana bunge na serikali ni kitu kimoja. Kinyume cha katiba!
 
Huyu ndiye CAG bora wa muda wote nchini Tanzania ambaye aliibua madudu na kuzifanya taasisi za umma kushughulikia ufisadi na kuanza kuuchukia kwa dhati ufisadi.

He did it professionally na hakuwahi kuichukiza taasisi yoyote na hakuwahi kuchukiwa na taasisi au mtu yoyote zaidi aliheshimika sana hadi leo baada ya kustaafu.
Ni wazi wabunge wa CCM wanatetea ufisadi ndiyomaana wanajaribu kuzikwepa report za CAG Assad.
 
Huyu ndiye CAG bora wa muda wote nchini Tanzania ambaye aliibua madudu na kuzifanya taasisi za umma kushughulikia ufisadi na kuanza kuuchukia kwa dhati ufisadi.

He did it professionally na hakuwahi kuichukiza taasisi yoyote na hakuwahi kuchukiwa na taasisi au mtu yoyote zaidi aliheshimika sana hadi leo baada ya kustaafu.
CAG Assad ni mwiba kwa Jiwe

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Huyu ndiye CAG bora wa muda wote nchini Tanzania ambaye aliibua madudu na kuzifanya taasisi za umma kushughulikia ufisadi na kuanza kuuchukia kwa dhati ufisadi.

He did it professionally na hakuwahi kuichukiza taasisi yoyote na hakuwahi kuchukiwa na taasisi au mtu yoyote zaidi aliheshimika sana hadi leo baada ya kustaafu.
mtoa mada unatumia Jina gani(ID) ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio lazima MUSSA ASSAD awe kama LUDOVICK UTOH, mitazamo na maono hutofautiana kati ya binadamu na binadamu.

Anachoweza kuona CAG ASSAD sicho anachoweza kuona CAG UTOH kinyume chake hivyo hivyo..

Kusema kitu au mtu au taasisi fulani ni dhaifu sio kebehi kama mhusika anaweza kuthibitisha udhaifu wa taasisi husika.

Tuambie ni wapi toka vyama vingi vimeanzishwa au toka enzi za chama kimoja Bunge liliwahi kuiwajibisha Serikali juu ya jambo fulani zaidi ya kuona vikao vya nje ya bunge vya chama dola na baada ya hapo utasikia ndiyooooooooo..
 
Wakati wa Utoh kazi ya bunge ilikuwa sio kuonesha nguvu yake kwa kuwafungia vikao akina Lema. Bunge hili nguvu yake ipo kupitisha sheria mbaya, kuwakandamiza wabunge wa upinzani na kuisifu serikali tu. Ingekuwa ni sasa ESCROW, TAGETA ACCOUNT NK ZISINGEJADILIWA
Huyu ndiye CAG bora wa muda wote nchini Tanzania ambaye aliibua madudu na kuzifanya taasisi za umma kushughulikia ufisadi na kuanza kuuchukia kwa dhati ufisadi.

He did it professionally na hakuwahi kuichukiza taasisi yoyote na hakuwahi kuchukiwa na taasisi au mtu yoyote zaidi aliheshimika sana hadi leo baada ya kustaafu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madudu aliyoibua utoh yalifanyiwa kazi na bunge madhubuti kipindi kile,,
Huyu ndiye CAG bora wa muda wote nchini Tanzania ambaye aliibua madudu na kuzifanya taasisi za umma kushughulikia ufisadi na kuanza kuuchukia kwa dhati ufisadi.

He did it professionally na hakuwahi kuichukiza taasisi yoyote na hakuwahi kuchukiwa na taasisi au mtu yoyote zaidi aliheshimika sana hadi leo baada ya kustaafu.
Madudu anayoibua Assad hayafanyiwi kazi na bunge la sasa,
hapo ndo penye udhaifu wa ili bunge la sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ndiye CAG bora wa muda wote nchini Tanzania ambaye aliibua madudu na kuzifanya taasisi za umma kushughulikia ufisadi na kuanza kuuchukia kwa dhati ufisadi.

He did it professionally na hakuwahi kuichukiza taasisi yoyote na hakuwahi kuchukiwa na taasisi au mtu yoyote zaidi aliheshimika sana hadi leo baada ya kustaafu.
Vjana wanasema hii ndo kabal yenu hamtoacha kupapatka kama mtolewa roho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja iliyopo meza usio ubora wa CAG Bali udhaifu wa Bunge

Kuhusu kuibua Madudu Mengi Mie Pia na kupinga

Uttoh alijipatia umaarufu wa Special Audit nyingi alizofanya ambazo chanzo chake Ni kuibuka kashfa kupitia uhuru wa kujieleza them ndio anaambiwa kafanye Special Audit sio Kuwa Uttoh alikuwa anaibua Madudu wakati wa Statutory Audit zake

Mf wa Special Audit zilizompa umaarufu Uttoh Ni Pamoja Na

EPA, Escrow, Rushwa ya Jairo Na kashfa ya Ujenzi wa Bandari

Sasa hivi Hakuna special Audit Za namna hiyo kwa Kuwa nyakati zimebadilika

Pia Tambua Sasa hivi National Audit Office Bajeti yake imekatwa kwa 70% ukilinganisha Na wakati wa Jakaya

Nitajie Kashfa Moja kubwa iliyoibuliwa Na Uttoh ambayo chanzo Ni Ukaguzi wake wa kawaida sio special Audit zizlizotokana Na kuvuja Taarifa Za wizi Au Ubadhirifu?
 
Huyu ndiye CAG bora wa muda wote nchini Tanzania ambaye aliibua madudu na kuzifanya taasisi za umma kushughulikia ufisadi na kuanza kuuchukia kwa dhati ufisadi.

He did it professionally na hakuwahi kuichukiza taasisi yoyote na hakuwahi kuchukiwa na taasisi au mtu yoyote zaidi aliheshimika sana hadi leo baada ya kustaafu.
Ukiacha zBunge, ni taasisi ipi imetangaza kutomkubali?
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom