The Elephant
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 4,345
- 4,608
Hayo ni maono ya LaymanNi nani duniani hii asiyejua kuwa Lissu, Mbowe na mashabiki wao ni vibaraka wa mabeberu?
Hayo ni maono ya LaymanNi nani duniani hii asiyejua kuwa Lissu, Mbowe na mashabiki wao ni vibaraka wa mabeberu?
Kwa moyo wako siingii hata kwa mtutu
Nani anataka kuwa mjinga
Hata wale magaidi wa MKIRU na mashabiki wao walisema kuna watu wanataka kuwadhuru. Hivyohivyo kwa akina Chacha Wangwe.Kama Tundu Lissu na Ben Saanane walipotafuta kiki waliposema kuna watu wanataka kuwadhuru.
Hakuna mtafuta kiki kama mlevi Mbowe na dalali wa AstraZeneca.Mtafuta kiki hatunaye tena
MATAGA acheni kuuwana...Wewe nawe mshamba mnoooo
Alipokua anafundisha kule sengerema ulikua ukimsaidia wewe?
Alipokua waziri kwa miaka20 kazi zake ulikua ukifanya wewe???
Alipokua rais na kufanya miradi yote ya maendeleo na kuisimamia kwa wakati wewe ndio ulikua unamsaidia.
Wewe ni bure kabisaaa
Kwa taarifa yako ameenda lakini aliyofanya yanaishi na yanadhihirisha PhD yake
Magufulism for life.Sema ni kiboko ya madokozi.
Kama Chacha Wangwe.Yes kama Azory, Alphonce Mawazo na Ben Saanane walivyotafuta kiki.
kama dalali wa AstraZeneca.Ya nini...
Atishiwe ulinzi kwa lipi!Bora umeliona hilo
kama yako.Hayo ni maono ya Layman
Bahati mbaya kwao ni jinsi wanavyoelewa(Slow Processing) maono taratibu sana.Wangekuwa na speed ya kuelewa na kupokea wangeahirisha vita dhidi ya wapinzani(Ambao kiuhalisia walikuwa wasema ukweli) na badala yake wakaangalia walikojikwaa au kujisahihisha.Lema alishasema kuwa wakiwamaliza wapinzani watahamia kwao kwa wao na sasa yametimia
Muda si mrefu msukuma akiongea atasema kadhalilishwaHapo umenena mkuu. Anatafuta kiki za kisiasa huyu. Anaaibisha taaluma na utu wake.
Spana gani, sisi tunakamua toka kipindi cha dhalimu, ndio itakuwa hiki cha mrembo?
UtakomaWacha kupotezea mada wewe mjinga uliyetumwa na Ndugai .....mlificha madudu yenu mliofanya hadi kuhamishia ATCL Ofisi ya Meko Ili isikaguliwe, Mkamtengenezea Zengwe hadi Asaad akatemwa kazi....
Upo sahihi mkuuuBahati mbaya kwao ni jinsi wanavyoelewa(Slow Processing) maono taratibu sana.Wangekuwa na speed ya kuelewa na kupokea wangeahirisha vita dhidi ya wapinzani(Ambao kiuhalisia walikuwa wasema ukweli) na badala yake wakaangalia walikojikwaa au kujisahihisha...