CAG Kichere atishiwa kifo baada ya kutoa ripoti iliyoibua madudu mengi, aongezewa ulinzi nyumbani na ofisini

Ni nani duniani hii asiyejua kuwa Lissu, Mbowe na mashabiki wao ni vibaraka wa mabeberu?
Mkiambiwa ukweli mnawasingizia mabeberu,nyie mbuzi jike?Mnakwama wapi CCM & co?Hao uliowataja ndiyo walisababisha ubadhirifu ama waliwatuma wabadhirifu waliotajwa na CAG?

Tuache propaganda, tusimame kwenye ukweli maana kweli itatuweka Huru.
 
Umeshapata chanjo ya AstraZeneca kama Mbowe alivyowaasa?
 
Walidhani wanaua upinzani kumbe wanatengeneza upinzani ndani ya chama chao...CCM imegawanyika sasa hivi...kuwa watawala na wapinzani
Haaaa wamekosa wa kupambana nae sasa wanapambana wenyewe. Hukuiona issue ya Mbowe juzi wale std 7 walivyopata chakula?
 
Bila shaka itakuwa wapambe wa kiongozi wa malaika (Astaghafirullahi) ambao waliamini kuwa ndugu yao alikuwa msafi kuliko watu wote duniani.

Poleni MATAGA zamu yenu sasa kupumua kwa mdomo.
 
Back
Top Bottom