CAG Kichere atishiwa kifo baada ya kutoa ripoti iliyoibua madudu mengi, aongezewa ulinzi nyumbani na ofisini

Earthmover

JF-Expert Member
Sep 28, 2012
17,030
2,000
Wewe nawe mshamba mnoooo
Alipokua anafundisha kule sengerema ulikua ukimsaidia wewe?
Alipokua waziri kwa miaka20 kazi zake ulikua ukifanya wewe???
Alipokua rais na kufanya miradi yote ya maendeleo na kuisimamia kwa wakati wewe ndio ulikua unamsaidia.
Wewe ni bure kabisaaa
Kwa taarifa yako ameenda lakini aliyofanya yanaishi na yanadhihirisha PhD yake
MATAGA acheni kuuwana...
 

DENLSON

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
478
1,000
Magazeti ya Tanzania ni hovyo sana yaani anasema yeye mwenyewe anasema chochote bado unaandika ametishiwa maisha umetumia ushahidi gani kusema kuwa ametishiwa maisha ikiwa yeye mwenyewe hajasema chochote.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
22,642
2,000
Wasiojulikana bado hawajajulikana tu? Pole CAG wetu - tunakuombea endelea kuyaanika maovu yao yoote as long as Rais ashakupa Rungu we twanga tu hata la Bichwa hakuna wa kukutisha !!
 

Gellangi

JF-Expert Member
Apr 11, 2016
1,836
2,000
Lema alishasema kuwa wakiwamaliza wapinzani watahamia kwao kwa wao na sasa yametimia
Bahati mbaya kwao ni jinsi wanavyoelewa(Slow Processing) maono taratibu sana.Wangekuwa na speed ya kuelewa na kupokea wangeahirisha vita dhidi ya wapinzani(Ambao kiuhalisia walikuwa wasema ukweli) na badala yake wakaangalia walikojikwaa au kujisahihisha.

CAG wa sasa walimtaka wenyewe baada ya kuona Professor Assad anawavua sidiria,Kicheere amewageuka na sasa magagulo yameanza kuwalegea viunoni na ndiyo maana wapo tayari hata kumtoa Roho.

Watanzania, tusimame na Kicheere na kumuombea Ulinzi wa Mungu aliye Hai ili atimize wajibu wake.

Umuhimu wa CCM kutupisha kwenye Uongozi wa Tanzania sasa haupingiki tena.CCM ni Adui wa Taifa letu,tudai Katiba Mpya ya Wananchi ili tujenge mifumo bora ya kiuongozi na kuiwezesha Tanzania isonge mbele kuelekea inakostahili yaani nchi ya kipato cha juu na kidemokrasia.

Chama kinachoongoza kikizingua tunakizingua na kuweka chama kingine mbadala ama tufute vyama vya siasa ili kuokoa raslimali fedha zinazotumika kuviendesha.

Nimewaza kwa sauti tu!
 

bernabella

Senior Member
Apr 4, 2021
155
250
Huyu sasa ndiyo wa kumuombea sio bwana.na ninaamini kila siku wanaoifilisi hii inchi na kuiludisha nyuma ni haohao CCM,naamini hakitabaki kitu tunaenda kuona muanguko wa CCM
 

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
103,934
2,000
Bahati mbaya kwao ni jinsi wanavyoelewa(Slow Processing) maono taratibu sana.Wangekuwa na speed ya kuelewa na kupokea wangeahirisha vita dhidi ya wapinzani(Ambao kiuhalisia walikuwa wasema ukweli) na badala yake wakaangalia walikojikwaa au kujisahihisha...
Upo sahihi mkuuu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom