Mliompenda ni wale low critically thinkerAliwezaje kwafanya Wananchi tumpende na kumwamini?
CAG njoo ujibu.
Mliompenda ni wale low critically thinkerAliwezaje kwafanya Wananchi tumpende na kumwamini?
CAG njoo ujibu.
Hayo ndio yanampa tiketi ya kuiba?aliwezaje kujenga daraja la tanzanite ? aliwezaje kujenga daraja la busisi ? aliwezaje kuhamisha makao makuu dodoma wakati marais wote walishidwa kwa ukosefu wa pesa?
Sukuma Gang sikiliza, kama ni kufa watu walikufa sana kwa ukatili wa huyu mtu wenu!Najiuliza aliwezaje kufanya yote haya kwa muda wa Miaka Mitano na Miezi Mitano tu? Aliwezaje kuimudu Corona na hatukupigwa Lockdown? Kwa muda wote wa uongozi wake.
Toka lini mpigaji akashughurika na miradi ya nchi?,toka lini mpigaji akawafukuza wapigaji wenzie?,mavi kuchwaniUna ufahamu na kitu kinachojulikana Kama WHITE ELEPHANT? Ni miradi mikubwa inayobatizwa jina la miradi ya kimkamkati ambayo pesa nyingi hutumbukizwa humo na kuliwa na wajanja! Miradi yote uliyoitaja ni sampuli za white elephant ma ina vinasaba vyote vya white elephant!
So, wanasiasa na viongozi wote wanatia mikono Yao na kuchota fedha zilizoelekezwa humo na kuzitumia na familia zao! Usimlaumu CAG Bali wanasiasa waliobuni miradi hiyo Kwa lengo la kuiba fedha za umma!
Magufuli makosa yake ni mawili tu kwa upande wangu.Mimi maswali yangu ni haya;~
Utawala wa Magufuli unaonekana ulikuwa wa kipigaji sana, je aliwezaje
1. Kununua ndege 11 mpya tena bila mkopo?
2. Kujenga madaraja yote haya?
3. Kujenga Fly over hizi?
4. Kujenga meli kubwa mpya zile na kukarabati meli za zamani?
5. Kuhamishia serikali Dodoma na kuanza ujenzi wa Ikulu kubwa namna ile?
6. Kujenga viwanja vya ndege na kukarabati vya zamani kwa ujumla wake 13?
7. Kujenga Vituo vya Afya takriban 500 na Zahanati 1800?
8. Kujenga Hospitali za Wilaya, za rufaa na za kanda kwa kiwango kile?
9. Kusambaza umeme katika vijiji 7,000?
10. Kujenga masoko ya kimataifa ? Ukianzia Dar es salaam yako masoko kadhaa ya kimataifa, Kisutu, Magomeni, Mwananyamala, Iringa mjini, Dodoma pale soko la Ndungai.
11. Kujenga Mahakama za kisasa karibu kila mkoa?
12. Kujenga barabara za lami kila mahali mijini? Tena barabara za kiwango cha kimataifa na taa za barabarani?
13. Kujenga SGR_ Standard Gauge Railway tena yakutumia umeme?
14. Kujenga Bwawa la Umeme la Mwalimu Nyerere?
15. Kujenga maabara za shule za kata na kuzikarabati shule zote za Sekondari Kongwe?
16. Elimu bure nchi nzima kuanzia shule za msingi mpaka kidato cha nne?
17. Ununuzi na ufungaji wa Rada kuilinda anga ya Tanzania?
18. Kufufua Reli ya Dar es Salaam, Tanga Moshi Arusha iliyosimama kwa miaka 30?
Najiuliza aliwezaje kufanya yote haya kwa muda wa Miaka Mitano na Miezi Mitano tu? Aliwezaje kuimudu Corona na hatukupigwa Lockdown? Kwa muda wote wa uongozi wake.
Haya ndio maswali nahitaji majibu.
Mkuu wangu Zito pia mwanauchumi naomba jitokeze kuokoa hili jahazi.
Bro Lissu pia mwanasheria mkongwe mtaalamu wa sheria haya maswali yanahitaji majibu.
Mzee wangu Mbowe popote ulipo jitokeze katika huu mjadala.
Tujibu hili swali kwa weledi ili tuweze kupata walau elimu. Ni kipi kilichofanyika.
Ahsanteni kwa michango.
Mbona unajibu swali kwa kuuliza swali mkuu, ingependeza ungejibu kwanza ndio uuize na wewe ujibiwe.Magufuli alikopa trilioni 29 kwa miaka 5 tu...Huu ni mkopo mkubwa zaidi kuchukuliwa na Rais wa Tanzania
Na huyu CAG alichaguliwa na Magufuli baada ya kumuona Assad hafai
Swali ni je kwa nini utawala wa Magufuli unagombana na kila CAG?
Hujaona jibu hapo? Alikopo kuliko Rais yoyote yule kwa miaka 5 tuMbona unajibu swali kwa kuuliza swali mkuu, ingependeza ungejibu kwanza ndio uuize na wewe ujibiwe.
Hilo sio jibu mkuu mkuu weka nyama wewe umeona mwenzako amehorezesha mega project zote hiz halafu unaleta swala la kukopa kwani hujui hizo fedha zilienda wapi?Hujaona jibu hapo? Alikopo kuliko Rais yoyote yule kwa miaka 5 tu
Usituunganishe wote, wewe kama upo naye kivyako vyakoWananchi waliowengi wapo na JPM propaganda za kumchafua Magufuli wala awakubaliani nazo hata chembe.
mega project ipi iliyokamilika?Hilo sio jibu mkuu mkuu weka nyama wewe umeona mwenzako amehorezesha mega project zote hiz halafu unaleta swala la kukopa kwani hujui hizo fedha zilienda wapi?
Hujui lolote juu ya miradi ya tembo mweupe, jinyamazie hutachekwa! Waulize wakenya wakueleze jinsi moi alivyokuwa analamba mpunga Kwa miradi mikubwa ya umma!Toka lini mpigaji akashughurika na miradi ya nchi?,toka lini mpigaji akawafukuza wapigaji wenzie?,mavi kuchwani
Chuya!Pumba
Kwa hiyo kama haijakamilika ndio tafsri ya ufisadi kumbe unakubali kuna mega project alifanya sio, sasa huko ndio hela zimewekezwa.mega project ipi iliyokamilika?
Hivi kutoka stend ya magufuli mpaka pale unapoingilia morogoro road pana umbali gani, ni mwaka sasa hapajakamilika na kila mwezi wanapachonga tu.91 ndiyo nini? Mmekaa kusifia tu ovyoovyo, anaendelea kuoza kule Chato. Tangu afariki barabara ya njia nane haijaguswa? Kwanza ali plan kifala kabisa.