CAG kama umo humu naomba unijibu haya maswali

Najiuliza aliwezaje kufanya yote haya kwa muda wa Miaka Mitano na Miezi Mitano tu? Aliwezaje kuimudu Corona na hatukupigwa Lockdown? Kwa muda wote wa uongozi wake.
Sukuma Gang sikiliza, kama ni kufa watu walikufa sana kwa ukatili wa huyu mtu wenu!
Bahati nzuri corona yenyewe haikubagua!
 
Una ufahamu na kitu kinachojulikana Kama WHITE ELEPHANT? Ni miradi mikubwa inayobatizwa jina la miradi ya kimkamkati ambayo pesa nyingi hutumbukizwa humo na kuliwa na wajanja! Miradi yote uliyoitaja ni sampuli za white elephant ma ina vinasaba vyote vya white elephant!
So, wanasiasa na viongozi wote wanatia mikono Yao na kuchota fedha zilizoelekezwa humo na kuzitumia na familia zao! Usimlaumu CAG Bali wanasiasa waliobuni miradi hiyo Kwa lengo la kuiba fedha za umma!
Toka lini mpigaji akashughurika na miradi ya nchi?,toka lini mpigaji akawafukuza wapigaji wenzie?,mavi kuchwani
 
Mimi maswali yangu ni haya;~

Utawala wa Magufuli unaonekana ulikuwa wa kipigaji sana, je aliwezaje

1. Kununua ndege 11 mpya tena bila mkopo?

2. Kujenga madaraja yote haya?

3. Kujenga Fly over hizi?

4. Kujenga meli kubwa mpya zile na kukarabati meli za zamani?

5. Kuhamishia serikali Dodoma na kuanza ujenzi wa Ikulu kubwa namna ile?

6. Kujenga viwanja vya ndege na kukarabati vya zamani kwa ujumla wake 13?

7. Kujenga Vituo vya Afya takriban 500 na Zahanati 1800?

8. Kujenga Hospitali za Wilaya, za rufaa na za kanda kwa kiwango kile?

9. Kusambaza umeme katika vijiji 7,000?

10. Kujenga masoko ya kimataifa ? Ukianzia Dar es salaam yako masoko kadhaa ya kimataifa, Kisutu, Magomeni, Mwananyamala, Iringa mjini, Dodoma pale soko la Ndungai.

11. Kujenga Mahakama za kisasa karibu kila mkoa?

12. Kujenga barabara za lami kila mahali mijini? Tena barabara za kiwango cha kimataifa na taa za barabarani?

13. Kujenga SGR_ Standard Gauge Railway tena yakutumia umeme?

14. Kujenga Bwawa la Umeme la Mwalimu Nyerere?

15. Kujenga maabara za shule za kata na kuzikarabati shule zote za Sekondari Kongwe?

16. Elimu bure nchi nzima kuanzia shule za msingi mpaka kidato cha nne?

17. Ununuzi na ufungaji wa Rada kuilinda anga ya Tanzania?

18. Kufufua Reli ya Dar es Salaam, Tanga Moshi Arusha iliyosimama kwa miaka 30?

Najiuliza aliwezaje kufanya yote haya kwa muda wa Miaka Mitano na Miezi Mitano tu? Aliwezaje kuimudu Corona na hatukupigwa Lockdown? Kwa muda wote wa uongozi wake.

Haya ndio maswali nahitaji majibu.

Mkuu wangu Zito pia mwanauchumi naomba jitokeze kuokoa hili jahazi.

Bro Lissu pia mwanasheria mkongwe mtaalamu wa sheria haya maswali yanahitaji majibu.

Mzee wangu Mbowe popote ulipo jitokeze katika huu mjadala.

Tujibu hili swali kwa weledi ili tuweze kupata walau elimu. Ni kipi kilichofanyika.

Ahsanteni kwa michango.
Magufuli makosa yake ni mawili tu kwa upande wangu.
1. Kuzuia siasa
2. Madaraja na mishahara kwa watumishi wa umma.
MAMBO MENGINE YOTE YALIYOBAKIA WAS BEST PRESIDENT EVER AFTER NYERERE AND FAR MUCH BETTER COMPARED TO THE CURRENT.
 
Magufuli alikopa trilioni 29 kwa miaka 5 tu...Huu ni mkopo mkubwa zaidi kuchukuliwa na Rais wa Tanzania

Na huyu CAG alichaguliwa na Magufuli baada ya kumuona Assad hafai

Swali ni je kwa nini utawala wa Magufuli unagombana na kila CAG?
Mbona unajibu swali kwa kuuliza swali mkuu, ingependeza ungejibu kwanza ndio uuize na wewe ujibiwe.
 
Toka lini mpigaji akashughurika na miradi ya nchi?,toka lini mpigaji akawafukuza wapigaji wenzie?,mavi kuchwani
Hujui lolote juu ya miradi ya tembo mweupe, jinyamazie hutachekwa! Waulize wakenya wakueleze jinsi moi alivyokuwa analamba mpunga Kwa miradi mikubwa ya umma!
Mayanga construction una ufahamu wa mmiliki wake? Una mavi ya bata ndani fuvu lako, kajisafishe!
 
91 ndiyo nini? Mmekaa kusifia tu ovyoovyo, anaendelea kuoza kule Chato. Tangu afariki barabara ya njia nane haijaguswa? Kwanza ali plan kifala kabisa.
Hivi kutoka stend ya magufuli mpaka pale unapoingilia morogoro road pana umbali gani, ni mwaka sasa hapajakamilika na kila mwezi wanapachonga tu.
 
Back
Top Bottom