CAG: Jeshi la Polisi laongoza kwa kulipa mishahara watumishi ambao hawako kwenye utumishi wa Umma

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,694
239,260
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali ( CAG ) , Profesa Mussa Assad kwa Mwaka wa fedha wa 2015/16 , imebainisha kuwa Jeshi la Polisi limeongoza kwa kulipa mishahara kwa watumishi ambao hawako kwenye utumishi wa umma.

Limeshika namba moja kati ya Taasisi 19 , na kwamba limelipa milioni 757.316 kwa watumishi hewa 139 .

Chanzo - Nipashe .
 
Tusubiri majibu ya polisi ndio tuhukumu. Huenda wakati zikihitajika nyaraka za kuijibu hiyo kwere zilikuwa hazionekani au zilikuwa hazikizi matakwa ya mkaguzi kwa kuwa na upungufu.
Mliona wenyewe swala la Lugumu kwenye hesabu zilizopita. CAG alisema bilioni 37 zimenunua vifaa vya kuchukulia alama za vidole kwa vituo 14 badala ya vituo 108 vya wilaya. Kamati ilipoenda ilivikuta vifaa na kutoa mapendekezo ya kumaliza dosari.
Mkiendelea kuzitumia taarifa hizi vibaya kama mnavyotaka kufanya wataacha kuzitoa kabla serikali haijajibu hizo kwere. Kwa taaruma ya kikaguzi hivyo ndivyo anapaswa aandike CAG na serikali ijibu. Lakini kabla serikali haijajibu mkianza kuihukumu si sawa na utaratibu huu ukikithiri na kuleta taswira hasi utaratibu utabadilishwa. Kabla kamati za bunge zilikuwa zikijadili wakati ikitoka tu. Serikali ilipata shida sana kutoa majawabu kwa kuwa haikuwa na taarifa za wataalamu. Ndipo ilipoelekezwa kuwa kamati zitaipokea taarifa na kusubiri majibu ya serikali kisha kuchunguza pale wanapoona wanashaka nakupeleka taarifa bungeni. Hivyo hii taarifa iwe imekupa eneo la kufatilia majibu ya serikali, si taarifa ya kutolea hukumu au hitimisho kama ulivyoandika.
 
Hao hawakawii kumtengenezea zengwe CAG!

Bado namkumbuka sana yule kijana wa "Ripoti Maalumu" akiwaonesha askari wanavyoomba na wanavyopokea pesa za "kubrashia viatu"!
 
Tusubiri majibu ya polisi ndio tuhukumu. Huenda wakati zikihitajika nyaraka za kuijibu hiyo kwere zilikuwa hazionekani au zilikuwa hazikizi matakwa ya mkaguzi kwa kuwa na upungufu.
Mliona wenyewe swala la Lugumu kwenye hesabu zilizopita. CAG alisema bilioni 37 zimenunua vifaa vya kuchukulia alama za vidole kwa vituo 14 badala ya vituo 108 vya wilaya. Kamati ilipoenda ilivikuta vifaa na kutoa mapendekezo ya kumaliza dosari.
Mkiendelea kuzitumia taarifa hizi vibaya kama mnavyotaka kufanya wataacha kuzitoa kabla serikali haijajibu hizo kwere. Kwa taaruma ya kikaguzi hivyo ndivyo anapaswa aandike CAG na serikali ijibu. Lakini kabla serikali haijajibu mkianza kuihukumu si sawa na utaratibu huu ukikithiri na kuleta taswira hasi utaratibu utabadilishwa. Kabla kamati za bunge zilikuwa zikijadili wakati ikitoka tu. Serikali ilipata shida sana kutoa majawabu kwa kuwa haikuwa na taarifa za wataalamu. Ndipo ilipoelekezwa kuwa kamati zitaipokea taarifa na kusubiri majibu ya serikali kisha kuchunguza pale wanapoona wanashaka nakupeleka taarifa bungeni. Hivyo hii taarifa iwe imekupa eneo la kufatilia majibu ya serikali, si taarifa ya kutolea hukumu au hitimisho kama ulivyoandika.
Mjomba , mimi nimenakili kama ilivyoripotiwa na nipashe , halafu unaonaje kama ukishauri CAG asisome taarifa bungeni kabla ya watuhumiwa kuleta ushahidi ?

Kingine ni kwamba CAG akificha taarifa kama unavyoshauri , TUTAZITAFUTA WENYEWE NA KUZIANIKA HAPA JF ZIKIWA NA USHAHIDI WA KUTOSHA , tena kwa muda mfupi na gharama ya chini mno kuliko yeye .
 
Wewe na Nipashe hamna tofauti hivyo yanakuhusuni nyote. Nashukuru angalau unafununu ya namna bora ya matumizi ya taarifa ya CAG. Huenda mume wako hukushughulisha kikaguzi mahesabu ndio maana hukuchelewa kujua nilichomaanisha.
Kwa taarifa yako wapinzani hupata cha kusema cha maana pale taarifa ya CAG na na BOT zinapotoka. Zito kabla hizi taasisi hazijatoa taarifa huwa mtupu na zikichelewa utasiki akilia huko fb serikali imevunja katiba na mengine mengi.
Haita kaa itokee wakaacha kutoa taarifa huwenda watabadili muundo au kutoa elimu ya kutosha kwa umma namna bora ya matumizi ya taarifa ya CAG. Kwa elimu hii mtakosa kundi la kudanganya.
 
Tusubiri majibu ya polisi ndio tuhukumu. Huenda wakati zikihitajika nyaraka za kuijibu hiyo kwere zilikuwa hazionekani au zilikuwa hazikizi matakwa ya mkaguzi kwa kuwa na upungufu.
Mliona wenyewe swala la Lugumu kwenye hesabu zilizopita. CAG alisema bilioni 37 zimenunua vifaa vya kuchukulia alama za vidole kwa vituo 14 badala ya vituo 108 vya wilaya. Kamati ilipoenda ilivikuta vifaa na kutoa mapendekezo ya kumaliza dosari.
Mkiendelea kuzitumia taarifa hizi vibaya kama mnavyotaka kufanya wataacha kuzitoa kabla serikali haijajibu hizo kwere. Kwa taaruma ya kikaguzi hivyo ndivyo anapaswa aandike CAG na serikali ijibu. Lakini kabla serikali haijajibu mkianza kuihukumu si sawa na utaratibu huu ukikithiri na kuleta taswira hasi utaratibu utabadilishwa. Kabla kamati za bunge zilikuwa zikijadili wakati ikitoka tu. Serikali ilipata shida sana kutoa majawabu kwa kuwa haikuwa na taarifa za wataalamu. Ndipo ilipoelekezwa kuwa kamati zitaipokea taarifa na kusubiri majibu ya serikali kisha kuchunguza pale wanapoona wanashaka nakupeleka taarifa bungeni. Hivyo hii taarifa iwe imekupa eneo la kufatilia majibu ya serikali, si taarifa ya kutolea hukumu au hitimisho kama ulivyoandika.
...sass unatulaumu sisi au CAG? Yaani ushindwe ku respond kwa audit query mpaka ipelekwe kwa rais,bunge na public halafu uje kulia lia hapa?
 
Back
Top Bottom