CAG, Gavana, wizara ya fedha sasa kuhojiwa ziliko Tril 1.5, pia waziri wa fedha Zanziber na katibu hazina kuhusishwa

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Screenshot_2018-04-23-06-25-02.png
 
Prof Assad anaenda kuhojiwa Na Wanafunzi wa wanafunzi wake!

Kwa Sheria na Kanuni za Bunge, inawezekana Mh.Livingstone Lusinde Au Mh. Msukuma wanaweza kumhoji Prof Assad na kuamua juu ya hatma ya Hoja za Report yake ama kuifuta Au kuendelea nazo !

Akina Aeshy Yule wa Mb. wa Sumbawanga ndio watakaomsulubu Prof Assad Kwa Maswali ya Kihasibu Na Fedha!

Nawaza hii PAC ingekuwa bado chini ya Zitto ungewaka Moto Kama wa Escrow

Hahahaha
I'm Proud to be Tanzanian
 
Gavana ana uelewa? au unamzungumzia mstaafu, huyu mmmh?
Hili swala mbona halieleweki? Gavana na katibu mkuu hazina wamehojiwa na mkuu Wa nchi wakasema hakuna upotevu wowote nna hazina ipo salama sasa wanahojiwa tena na nani na kuhusu mini??
 
Naendelea kufuatlia comments humu labda nitaelewa......hiyo KAMATI NYETI.......inatoka bungeni au mkuu Kaunda yakwake?
 
Back
Top Bottom