CAG, Gavana, wizara ya fedha sasa kuhojiwa ziliko Tril 1.5, pia waziri wa fedha Zanziber na katibu hazina kuhusishwa

Marashi

JF-Expert Member
Apr 14, 2018
2,114
2,000
CAG atakula mkwara mkali halafu ata mwisho wa siku atalazimishwa ku RESTATE hesabu aseme kulikuwa na makosa ya ukokotoaji na CAG mwenyewe hivyo hakuna pesa iliibwa. Subirini.
 

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
18,668
2,000
Prof Assad anaenda kuhojiwa Na Wanafunzi wa wanafunzi wake!

Kwa Sheria na Kanuni za Bunge, inawezekana Mh.Livingstone Lusinde Au Mh. Msukuma wanaweza kumhoji Prof Assad na kuamua juu ya hatma ya Hoja za Report yake ama kuifuta Au kuendelea nazo !

Akina Aeshy Yule wa Mb. wa Sumbawanga ndio watakaomsulubu Prof Assad Kwa Maswali ya Kihasibu Na Fedha!

Nawaza hii PAC ingekuwa bado chini ya Zitto ungewaka Moto Kama wa Escrow

Hahahaha
I'm Proud to be Tanzanian

unafikiri ni bahati mbaya vilaza kuwekwa hiyo kanati?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom