CAG, Gavana, wizara ya fedha sasa kuhojiwa ziliko Tril 1.5, pia waziri wa fedha Zanziber na katibu hazina kuhusishwa

Prof Assad anaenda kuhojiwa Na Wanafunzi wa wanafunzi wake!

Kwa Sheria na Kanuni za Bunge, inawezekana Mh.Livingstone Lusinde Au Mh. Msukuma wanaweza kumhoji Prof Assad na kuamua juu ya hatma ya Hoja za Report yake ama kuifuta Au kuendelea nazo !

Akina Aeshy Yule wa Mb. wa Sumbawanga ndio watakaomsulubu Prof Assad Kwa Maswali ya Kihasibu Na Fedha!

Nawaza hii PAC ingekuwa bado chini ya Zitto ungewaka Moto Kama wa Escrow

Hahahaha
I'm Proud to be Tanzanian

Ungejua huko Zitto kafaidikaje. We kweli huwajui Watz. Usanii damuni. Hta Masongange maarufu. Ukiuliza. Ndo utajua TZ usanii. Ila juu mmepata mwanamume. Hamna kazi ni Majungu. Tu. Afu mnataka maendeleo. Nyie mnataka waimba taarabu Sio Maendeleo.
 
Simuoni wa kumhoji Prof Assad pale mjengoni.......hawa akina Shabiby na Aboud na yule Ayiro?!!........yanaweza yakaibuka mapya maana pale mjengoni wamejaa wafanyabiashara Assad akiwachenjia mambo yatakuwa ni moto!
 
Hakuna asiefaidika, tunaangalia contributions zake Kwa nafasi yake, hata Nyerere alifaidika Kwa kuwa Rais angebaki Mwalimu pale Pugu asingeishi Maisha Yale
 
Baba Jessy hii hela lazima aitapike, tutahakikisha anaitolea kwenye tundu lolote lililowazi kwenye mwili wake! Sisi tunalipa kodi halafu yeye anaruhusu watu kuiba kizembe hivyo?
 
Zitto Sasa hivi kawekwa kwenye Kamati ya Maendeleo ya Jamii
Kazi yake ni kufuatilia mambo Yale yahusuyo Sayansi kimu ile ya Primary school, kukagua Matundu ya Vyoo kwenye Masoko Na Stendi kuu za Mikoa, Kampeni ya Unyonyeshaji Kwa Wamama na athari za Mimba za Utotoni Kwa Maendeleo ya Mtoto wa Kike!
Hahahahah......This is very serious! Bahati mbaya sasa wamepokwa baadhi ya majukumu na RC wa Dar
 
Hata mimi nimekwama kabisa kwenye huu Uzi! Nimewaza kama wewe mkuu. Hii kamati ni ya nani hasa? Nina uhakika si Ndugai wala Tulia mwenye uwezo wa kuruhusu hili jambo lichunguzwe. Kama ni ya Mkulu basi JPM anajiamini sana.
huoni kuwa anatengeneza kamati ya kumsafisha?
huoni kuwa kashawapa jibu watakalotoa?(hakuna fedha iliyopotea bali zilikuwa hazijaiva!!!!)
 
Simuoni wa kumhoji Prof Assad pale mjengoni.......hawa akina Shabiby na Aboud na yule Ayiro?!!........yanaweza yakaibuka mapya maana pale mjengoni wamejaa wafanyabiashara Assad akiwachenjia mambo yatakuwa ni moto!
zitto mbona unaogopa kumtaja?
 
Prof Assad anaenda kuhojiwa Na Wanafunzi wa wanafunzi wake!

Kwa Sheria na Kanuni za Bunge, inawezekana Mh.Livingstone Lusinde Au Mh. Msukuma wanaweza kumhoji Prof Assad na kuamua juu ya hatma ya Hoja za Report yake ama kuifuta Au kuendelea nazo !

Akina Aeshy Yule wa Mb. wa Sumbawanga ndio watakaomsulubu Prof Assad Kwa Maswali ya Kihasibu Na Fedha!

Nawaza hii PAC ingekuwa bado chini ya Zitto ungewaka Moto Kama wa Escrow

Hahahaha
I'm Proud to be Tanzanian

Ualimu wa darasani sio sawa na actual practice in the workplace.

Ndio maana Professa Kabudi, Tibaijuka, Maghembe, Mwakyembe, Muhongo, wanashindwa mawizarani.

Mwalimu kazi yake ni carte blanc environment, hakuna anaemuhoji, ana dili na wanafunzi wenye zero practical experience, hawajui chochote, na yeye anajifanyia chochote anajisemea chochote.

Resu’me ya Mussa Assad haijatukuka kihivyo, alikuwepo kwenye mfumo wa NSSF ambayo wakurugenzi wake wote wamefukuzwa na tuhuma za TAKUKURU kasoro Dr. Dau.
 
Prof Assad anaenda kuhojiwa Na Wanafunzi wa wanafunzi wake!

Kwa Sheria na Kanuni za Bunge, inawezekana Mh.Livingstone Lusinde Au Mh. Msukuma wanaweza kumhoji Prof Assad na kuamua juu ya hatma ya Hoja za Report yake ama kuifuta Au kuendelea nazo !

Akina Aeshy Yule wa Mb. wa Sumbawanga ndio watakaomsulubu Prof Assad Kwa Maswali ya Kihasibu Na Fedha!

Nawaza hii PAC ingekuwa bado chini ya Zitto ungewaka Moto Kama wa Escrow

Hahahaha
I'm Proud to be Tanzanian
Ha ha ha
 
Hii nchi double standard ndiyo tatizo. Mtu anaweza akachukua kitu baadaye naye anatafuta.
 
Back
Top Bottom