CAG: Dreamliner za ATCL zatia hasara ya Tsh bilioni 23.6

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
11,635
19,860
Maamuzi ya kibiashara yasiingiliwe na siasa.....haya madege yamepaki tu hayafanyi biashara tarajiwa. Kila moja limenunuliwa kwa mamia ya mabilioni, halizalishi faida, Bali linazalisha hasara, mara baada ya JPM kupiga picha na ndege hizo, hazijaenda popote tena.

---
Air Tanzania's two Dreamliner aircraft record Sh23.6 billion loss

Two Boeing 787-8 Dreamliner aircraft recorded losses worth Sh23.6 billion despite Air Tanzania cutting its losses from Sh60.2 billion to Sh36.5 billion in 2020-2021, the Controller and Auditor General (CAG) report reveals.

The reports also revealed that ATCL is among 42 government entities that recorded losses or overspent in two consecutive years thus becoming one of the corporations that cannot pay debts within a short period of time.

CAG Charles Kichere, on Tuesday April 12, made the 2020/21 financial year reports public, revealing that despite the losses since ATCL was reformed in 2016/17, management continues to improve its operations annually.

He said the consecutive losses were due to the revenue of one each of the nine aircraft compared to its operating costs. As of June 2021 the company had two Boeing (B787), four Bombardier (Q400), two Airbus (A220), and one Bombadier Dash-8 (Q300).

“Bombardier-8 Q400 operated at a profit of Sh12.26 billion and Airbus-A220 Sh12.09 billion for the year that ended June 2021. Operational costs of Boeing-B787 exceeded revenue and resulted into losses of Sh23.61 billion, Bombardier Dash-8 Q300 has been grounded for more than three years due to maintenance,“ he said.

The CAG added: The high level of expenditure on non-profitable organisations was due to a lack of government subsidies and a lack of other sources of revenue. The loss in public entities was due to losses on investment made, poor performance of the agencies concerned, and poor control of revenue and expenditure.

However, CAG Kichere said poor performance of Boeing was due to low number of passengers and cargo, but also fewer routes than the targeted number.

“Most of routes planned in 2020/21 were cancelled due to low number of passengers that was caused by the outbreak of the Covid-19 pandemic,” CAG Kichere told reporters in Dodoma.

For his part, ATCL managing director Ladislaus Matindi said the loss decreased after they decided to venture into chartered flights and transportation of cargo.

“Currently the business is doing well, we expect to grow further. We expect to increase the use of our aircraft to reduce and cut losses."

Source: The Citizen

Za hangaya zitaleta faida !!
Mama anairudisha nchi katika nidhamu, anaitoa katika fikra za kiwendawazimu, mwendawazimu huwa anakusanya makopo lakini hajui ayafanyie nini! Sasa ATCL wameshaelekezwa wafanye biashara na siasa haitawalinda, na uongozi wa ATCL ukishindwa basi uondoke wenyewe. Mama anataka faida!
 
Mamayo.....
Ebu jaribu kuulizia Bei ya hizo ndege kwa sasa halafu ulinganishe na bei zilizonunuliwa nazo kipindi zinaletwa.

Hizo ndege tayari ni mali ya taifa.

Mama na Msoga watapita ila yupo kiongozi atakayekuja na kuzipa kipaumbele.

Mnaongelea mindege ya ATCL huku mnafurahia helikopta za JPM.
 
Maamuzi ya kibiashara yasiingiliwe na siasa.....haya madege yamepaki tu hayafanyi biashara tarajiwa. Kila moja limenunuliwa kwa mamia ya mabilioni, halizalishi faida, Bali linazalisha hasara, mara baada ya JPM kupiga picha na ndege hizo, hazijaenda popote tenaView attachment 2187849
,...mara baada ya JPM kupiga picha na ndege hizo, hazijaenda popote tena
Screenshot_20220414-145349.jpg
 
Mama anairudisha nchi katika nidhamu, anaitoa katika fikra za kiwendawazimu, mwendawazimu huwa anakusanya makopo lakini hajui ayafanyie nini! Sasa ATCL wameshaelekezwa wafanye biashara na siasa haitawalinda, na uongozi wa ATCL ukishindwa basi uondoke wenyewe. Mama anataka faida!
Mwaka sasa tangia magu afariki, mwaka sasa tangia ilo tamko la Hangaya alitoe ila bado hola! Tuijue biashara ya ndege kuwa lazima kwanza uwenazo uandae watu then mambo mengine yafuate!

Magufuli kafariki ni ndege kubwa moja tu ndo ikianza safari za India huku nyingine ikisubr utaratibu wa kwenda China kukamilika! Mara kukawa na changamoto za Covid, Safari zikaanza za China kama miezi kadhaa then zikasitishwa tena chini ya Hangaya sababu Covid!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maamuzi ya kibiashara yasiingiliwe na siasa.....haya madege yamepaki tu hayafanyi biashara tarajiwa. Kila moja limenunuliwa kwa mamia ya mabilioni, halizalishi faida, Bali linazalisha hasara, mara baada ya JPM kupiga picha na ndege hizo, hazijaenda popote tenaView attachment 2187849
Well done ATCL,JPM & CCM for spending fool's money.This was been discussed and the loss was obvious.Buying an Airlane might be very cheap compared to if you don't operate the plane.
 
Mwaka sasa tangia magu afariki, mwaka sasa tangia ilo tamko la Hangaya alitoe ila bado hola! Tuijue biashara ya ndege kuwa lazima kwanza uwenazo uandae watu then mambo mengine yafuate!

Magufuli kafariki ni ndege kubwa moja tu ndo ikianza safari za India huku nyingine ikisubr utaratibu wa kwenda China kukamilika! Mara kukawa na changamoto za Covid, Safari zikaanza za China kama miezi kadhaa then zikasitishwa tena chini ya Hangaya sababu Covid!

Sent using Jamii Forums mobile app
Awamu ya tano ilikuwa awamu ya wezi
Screenshot_20220415-072852.jpg
 
Kwamba ng'ombe ukimnunua,unampeleka malishoni na ukimpa matunzo atazaa.Ndege lazima iruke angani na kutua kwingine badala ya kukaa viwanjani.
Tujiulize,kwa nini tulinunua/kuendelea kuagiza hizo ndege kama haziwezi kusafiri?
Kwa nini serikali pamoja na kutambua hasara ya kununua ndege,kuzikodisha kwa ATCL isiyoweza kuzirusha kwa ufanisi?Hii ni hasara ya kujitakia.
Biashara ya ndege sio kama kufuga ng'ombe
 
Mikakati ya serikali ya CCM ni kuendesha nchi kwa kupitia "TRIALS AND ERRORS" tu na wala si vinginevyo. Wanaanzisha kitu kwa mbwembwe zote, kikijibu wanashangaa, kikibumba wanashangaa pia.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom