iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 4,230
- 7,814
Hata mimi na wasiwasi kama 'Ntu ya dili' aliziacha salama hizo pesa ndefu za unyang'anyi, alikwisha zipiga mapema sana bila shaka..Hizo pesa zenye usikute hayati na kundi lake walishazipiga mapema tu
DPP alifanya majukumu ambayo sio yake na amefanya kinyume na sheria