Wakuu na wataalam wa udhibiti na ukaguzi wa hesabu za fedha nina mashaka na fedha zinavyotumika nje na bajeti iliyopitishwa na bunge, sina uhakika kama Mdhibiti na Mkaguzi wa hesabu za serikali kama ataweza kuainisha namna zilivyotumika zaidi ya kusema hazijulikani zilipo, Naona mkuu anajichukulia fedha tuu na kufanya matumizi ambayo hayana baraka za Bunge, naomba kuwasilisha