CAG Assad amebainisha matumizi ya ziada ya Sh109,722, 539 kwa ajili ya ununuzi wa gari ya Toyota Land Cruiser VX V8 kwa Sh297.5M baadala ya 187.8M

mwaga mboga CAG vunja vunja mpaka bakuli, watati akili hata WAKUKUTEKA utaacha alama nzuri.
 
Okay po mimi nina majonzi ya hali ya juu sana naiangalia tanzania ya 2020 watu watakavyoumia kiukweli nakata tamaa kabisa Tanzania sio nchi tena ya siasa za kiupinzani
 
kama bunge dhaifu limegoma kushirikiana na CAG, namshauri atupe wananchi hizo ripoti maana sisi ndio wenye hizo fedha, hawa tuliowachagua kuwa wawakilishi wetu wameenda kuwa wawakilishi wa mwenyekiti wa chama chao.
 
Huyu CAG hafai kabisa ,hawezi kutufanyia ivi sisi watakatifu.

'A bad peace is better than a good quarrel '
 
Back
Top Bottom