OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,170
- 103,635
- Thread starter
- #101
kwisha habari yako,nilijua tu usingefika mbalidah! Nilikuwa sijaangalia avatar yako. Nimeishia hapo, nisitumie energy yangu zaidi.

Ndugai anahusika na ufisadi huu kwa namna yake.CAG hana huruma na mzaha kabisa.
Nimeona ametoa hati ya mashaka Wilaya ya Bahi. Mkurugenzi wa Wilaya ni mke wa Ndugai.
CAG ameweka wazi ufisadi wa sh.364,107,100 mapato ya ushuru yaliyotafunwa bila kupelekwa benki.
Someni vizuri ripoti, kuna madudu sana
Labda seleman alikuwa na hisaUmmy hayo ndio madudu Jaffo alikuwa anayafumbia macho, wewe usiwe na muhari mama kakuamini usimuangushe!
like father like son, mme fisadi , mzushi , mkabila na mchuki the same mke naye ameridhi, watu warefu wana shida sana.CAG hana huruma na mzaha kabisa.
Nimeona ametoa hati ya mashaka Wilaya ya Bahi. Mkurugenzi wa Wilaya ni mke wa Ndugai.
CAG ameweka wazi ufisadi wa sh.364,107,100 mapato ya ushuru yaliyotafunwa bila kupelekwa benki.
Someni vizuri ripoti, kuna madudu sana
Labda seleman alikuwa na hisa
Msiwe mnaongelea vihela vidogo kama hivi, kuna 1.5t yaani Billion 1500 sawa na millioni millioni moja na laki tano ilipigwa ufafanuzi ukatolewa na "Super Mathematician " Humphrey mwana wa Slow. Ukaongeza moja unakwenda na moja kichwani, unakopa 0.CAG hana huruma na mzaha kabisa.
Nimeona ametoa hati ya mashaka Wilaya ya Bahi. Mkurugenzi wa Wilaya ni mke wa Ndugai.
CAG ameweka wazi ufisadi wa sh.364,107,100 mapato ya ushuru yaliyotafunwa bila kupelekwa benki.
Someni vizuri ripoti, kuna madudu sana
Watazitapika tuCAG hana huruma na mzaha kabisa.
Nimeona ametoa hati ya mashaka Wilaya ya Bahi. Mkurugenzi wa Wilaya ni mke wa Ndugai.
CAG ameweka wazi ufisadi wa sh.364,107,100 mapato ya ushuru yaliyotafunwa bila kupelekwa benki.
Someni vizuri ripoti, kuna madudu sana
Ndiyo lengo lake huyu mpuuziNdiyo maana Ndugai anataka taarifa za kamati ziijadili report ya CAG ili kupitia huko amsafishe mkewe maana ndiyo mkurugenzi huko
Kuna madudu zaidi ya hapoCAG hana huruma na mzaha kabisa.
Nimeona ametoa hati ya mashaka Wilaya ya Bahi. Mkurugenzi wa Wilaya ni mke wa Ndugai.
CAG ameweka wazi ufisadi wa sh.364,107,100 mapato ya ushuru yaliyotafunwa bila kupelekwa benki.
Someni vizuri ripoti, kuna madudu sana
CAG hana huruma na mzaha kabisa.

YapoKuna madudu zaidi ya hapo
Hapo ndipo tujiulize "usafi wa mwenza wake" uko wapi!? Usikute alimwambia "we piga tu ntakulinda!!" Hii nchi imechezewa sana... na walidhani mwendazake ataishi milele wajifiche kwenye kivuli cha kumsifu huku wakitekeleza nia zao ovu...CAG hana huruma na mzaha kabisa.