KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 4,591
- 4,190
O M G !CAG hana huruma na mzaha kabisa.
Nimeona ametoa hati ya mashaka Wilaya ya Bahi. Mkurugenzi wa Wilaya ni mke wa Ndugai.
CAG ameweka wazi ufisadi wa sh.364,107,100 mapato ya ushuru yaliyotafunwa bila kupelekwa benki.
Someni vizuri ripoti, kuna madudu sana