simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,409
- 9,183
MCP wanasema behind every succeful man is woman.
Kwani yeye siyo Mtanzania kama Watanzania wengine. Kama ni mtanzania ana haki ya kazi yoyote kama ana sifa zinazotakiwa.Why Mke WA spika apewe ukurugenzi?
Ukaguzi maalum wahitajika harakaMkuu Ndu gai alitumia Bilioni 12 kwa matibabu.
Atamsafisha kwa maji ya betri?Ndiyo maana Ndugai anataka taarifa za kamati ziijadili report ya CAG ili kupitia huko amsafishe mkewe maana ndiyo mkurugenzi huko
swahiba mmefuta ngapi kwa wachina?Swahiba hayo mambo ya Bahi yasubiri kidogo...
Kwa sasa tuko busy na mchakato wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo
Maendeleo hayana vyama
Kweli Tanzania ni shamba la bibi.CAG hana huruma na mzaha kabisa.
Nimeona ametoa hati ya mashaka Wilaya ya Bahi. Mkurugenzi wa Wilaya ni mke wa Ndugai..
🤔 🤔 🤔 🤔 🤔Ndiyo maana Ndugai anataka taarifa za kamati ziijadili report ya CAG ili kupitia huko amsafishe mkewe maana ndiyo mkurugenzi huko
swahiba mmefuta ngapi kwa wachina?
Ndungai hajawahi kuwa mzalendo wa nchi hii ni opportunistCAG hana huruma na mzaha kabisa.
Nimeona ametoa hati ya mashaka Wilaya ya Bahi. Mkurugenzi wa Wilaya ni mke wa Ndugai.
CAG ameweka wazi ufisadi wa sh.364,107,100 mapato ya ushuru yaliyotafunwa bila kupelekwa benki.
Someni vizuri ripoti,kuna madudu sana
Atasema ni Mbowe amesababisha.
Ni washenzi(wasiostaarabika) tu ndiyo huona ni sawa kitu kama hicho.Why Mke WA spika apewe ukurugenzi?
Hivi mtu kama huyu anapataje uspika?Mzee wa bandari anaanza kuumbukaView attachment 1750596
ndio utaratibu lakiniNdiyo maana Ndugai anataka taarifa za kamati ziijadili report ya CAG ili kupitia huko amsafishe mkewe maana ndiyo mkurugenzi huko
Hasafishiki Hata Kwa Dodoki na Dettol!!😣😏🤗Ndiyo maana Ndugai anataka taarifa za kamati ziijadili report ya CAG ili kupitia huko amsafishe mkewe maana ndiyo mkurugenzi huko
Hapo Sasa Ndiyo Papukuanzia......😶😑Why Mke WA spika apewe ukurugenzi?