CAG agundua ufisadi wa Tsh milioni 364 Halmashauri ya Bahi ambayo mke wa Spika Ndugai ni DED

Nemesis

JF-Expert Member
Feb 13, 2008
5,066
2,000
CAG hana huruma na mzaha kabisa.

Nimeona ametoa hati ya mashaka Wilaya ya Bahi. Mkurugenzi wa Wilaya ni mke wa Ndugai.

CAG ameweka wazi ufisadi wa sh.364,107,100 mapato ya ushuru yaliyotafunwa bila kupelekwa benki.

Someni vizuri ripoti, kuna madudu sana
Lugha ya CAG wengi huwa hawaielewi. Hakuna namna Bahi inaweza kumpeleka benki milioni 364. Hayo ni makusanyo ya miezi kadhaa kwa Halmashauri kama Bahi. Hapo CAG anamaanisha kuwa alitolewa Ankara (bill) za kiasi hicho na bado hazijalipiwa. Mtu anaweza kuchukua bill ya kununua ardhi kwa mfano, akaghairi, mfumo wa mapato unasema ile bill kuwa ni mapato ambayo hayajapelekwa benki.
 
Mbilima yimo

JF-Expert Member
Sep 14, 2020
285
500
CAG hana huruma na mzaha kabisa.

Nimeona ametoa hati ya mashaka Wilaya ya Bahi. Mkurugenzi wa Wilaya ni mke wa Ndugai.

CAG ameweka wazi ufisadi wa sh.364,107,100 mapato ya ushuru yaliyotafunwa bila kupelekwa benki.

Someni vizuri ripoti, kuna madudu sana
Ndugai anawaambia watanzania at million moja tu ndo haina risiti kati ya hizo milioni 364 ziliOpotea.
 
OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
35,658
2,000
Lugha ya CAG wengi huwa hawaielewi. Hakuna namna Bahi inaweza kumpeleka benki milioni 364. Hayo ni makusanyo ya miezi kadhaa kwa Halmashauri kama Bahi. Hapo CAG anamaanisha kuwa alitolewa Ankara (bill) za kiasi hicho na bado hazijalipiwa. Mtu anaweza kuchukua bill ya kununua ardhi kwa mfano, akaghairi, mfumo wa mapato unasema ile bill kuwa ni mapato ambayo hayajapelekwa benki.
Hawa ndio watanzania wachache wanaotumika na majizi kupotosha mambo. CAG kasema hizo fedha zimekusanywa na wakusanywa ushuru wenye mashine lakini hawakupeleka benki. wewe unaleta stori za ankara.

Umesoma ripoti?
 
Nemesis

JF-Expert Member
Feb 13, 2008
5,066
2,000
Hawa ndio watanzania wachache wanaotumika na majizi kupotosha mambo. CAG kasema hizo fedha zimekusanywa na wakusanywa ushuru wenye mashine lakini hawakupeleka benki. wewe unaleta stori za ankara.

Umesoma ripoti?
"d) Kutokutenga hasara ya mbeleni kutokana na mapato yaliyokusanywa lakini hayakupelekwa benki, Sh. 364,107,100 Maelezo Na. 27 kwenye taarifa za fedha yalionesha madai ya jumla ya Sh. 364,107,100 yaliyotokana na mapato yaliyokusanywa na watumishi wa Halmashauri pamoja na mawakala wa ukusanyaji mapato kwa kutumia mashine za kukusanyia mapato papo kwa papo lakini hayakupelekwa benki/kuwasilishwa Halmashauri. Hata hivyo, Halmashauri haikutenga hasara inayoweza kujitokeza mbeleni kutokana na kiasi hicho kutowasilishwa, hivyo kupelekea madai na faida iliyoripotiwa kwa mwaka ulioishia tarehe 30 Juni 2020 kuwa zaidi kwa Sh. 364,107,100. 32. Halmashauri ya Mji wa Kondoa"

Hayo ndiyo maneno ya CAG. Ingekuwa ni kama unavyofikiri, angesema upotevu wa mapato ya kiasi cha shilingi ...

Usitumie nguvu sana, waone wataalam wakufafanulie vizuri. Tatizo chuki binafsi unakufumba macho usione kwa upana. Mi siyo shabiki wa Ndungai wala mke wake, sina sababu ya kutetea chochote ila natumia uhuru wangu kushare ninachokiona. Eti natumika na majizi, very poor judgment.
 
Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
4,273
2,000
CAG hana huruma na mzaha kabisa.

Nimeona ametoa hati ya mashaka Wilaya ya Bahi. Mkurugenzi wa Wilaya ni mke wa Ndugai.

CAG ameweka wazi ufisadi wa sh.364,107,100 mapato ya ushuru yaliyotafunwa bila kupelekwa benki.

Someni vizuri ripoti, kuna madudu sana
Mbona hujaweka hapa hiyo ripoti? Ukurasa wa ngapi kuna ufisadi?
 
Nenda kurasa 583 kuna table imeonyesha Wilaya ambazo hazipeleka mapato benki Bahi ipo #122 baada ya hapo urudi tujadili. ukisoma hiyo table rudi page 163 kuna maelezo yake.nataka nikusaidie ukawasaidie na wenzio.Usiache kurudi bwana mdogo
 
Hujanielewa. Hujaielewa lugha ya CAG au tuseme lugha ya wakaguzi wa hesabu. Kila taaluma ina lugha yake. Ukitaka kuingia ndani tafuta ripoti ya H/W Bahi yenye cover ya kijani. Humo ndiyo huwa kuna details zote. Au pata Management letter ya CAG aliyoitoa wakati wa ukaguzi. Humo kunakuwa na details zote including date and time ya miamala iliyofanyika.

Hii ripoti unayosoma ya CAG ni muhtasari wa volumes za vitabu vingi (Zaidi ya vitabu 1,000) kwa Serikali za mitaa peke yake. Vinginevyo kwa kufurahisha genge endelea tu.
 
Hizo page nilizokupa zinasema nini? weka hapa
Si sahihi kwamba Wilaya haijapeleka benki mapato hayo kwa mjibu wa ripoti page # 163 na 583?
 
Ukana Shilungo

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
2,937
2,000
CAG hana huruma na mzaha kabisa.

Nimeona ametoa hati ya mashaka Wilaya ya Bahi. Mkurugenzi wa Wilaya ni mke wa Ndugai.

CAG ameweka wazi ufisadi wa sh.364,107,100 mapato ya ushuru yaliyotafunwa bila kupelekwa benki.

Someni vizuri ripoti, kuna madudu sana
SAFI SANA,NDO MAANA ANA HASIRA MBAYA
 
The Elephant

JF-Expert Member
Dec 18, 2014
4,347
2,000
CAG hana huruma na mzaha kabisa.

Nimeona ametoa hati ya mashaka Wilaya ya Bahi. Mkurugenzi wa Wilaya ni mke wa Ndugai.

CAG ameweka wazi ufisadi wa sh.364,107,100 mapato ya ushuru yaliyotafunwa bila kupelekwa benki.

Someni vizuri ripoti, kuna madudu sana
Ukoo wa panya- Baba ndevu, mama ndevu na mtoto ndevu
 
Kilembwe

JF-Expert Member
Aug 19, 2009
1,557
2,000
Mbowe ni mnafiki na wakala wa wazungu anatafuta huruma ya mama Samia ili dili lake alilokula 10% kwa kuleta chanjo Tanzania.

Kwa nini hakuyasema kipindi Magufuli yupo?
....Wewe una nini na Mbowe....hii haihusiani na mada iliyowekwa hapa.....fungua uzi wako kuhusu haya madai yako dhidi ya Mbowe, sio kupandishia juu ya uzi mwingine...Mods!
 
Kilembwe

JF-Expert Member
Aug 19, 2009
1,557
2,000
Maana sasa kila kona utasikia pesa zimeliwa....nadhani zipo zinazokosekana kwa uzembe wa kutunza hesabu
....Huu uzembe wa kutunza hesabu ndio kuliwa kwenyewe huko....si umesikia hata huko Zanzibar, "uzembe wa kutunza hesabu" umeondoka na vichwa vitatu vya maafisa wa jeshi...
 
ngunde11

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
490
500
Sitaki kuamini kwamba kila pesa inayokosekana na CAG imefisadiwa.

Maana sasa kila kona utasikia pesa zimeliwa....nadhani zipo zinazokosekana kwa uzembe wa kutunza hesabu.
Acha ujinga hakuna kitu kinaitwa uzembe wa kutunza hesabu
 
Kilembwe

JF-Expert Member
Aug 19, 2009
1,557
2,000
dah! Nilikuwa sijaangalia avatar yako. Nimeishia hapo, nisitumie energy yangu zaidi.
...Mkuu usijifiche kwenye avatar jibu hoja...hiyo avatar angeweza kuweka hata ya Spika...muhimu ni hoja zake je zinaukweli? ulianza kujadiliana naye vizuri...huenda unameona huna majibu ya hoja zako au ni kweli unatetea kilichotokea, ndio maana umekimbilia kwenye avatar...kama escape route yako!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom