CAG afichua jipu la kutisha kwenye Halmashauri zetu

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Dar es Salaam. Ni jipu. Ndivyo unavyoweza kusema, baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad kusema halmashauri 34 nchini zimetumia Sh1.45 trilioni za miradi kugharimia shughuli ambazo hazikuwamo kwenye bajeti.

Profesa Assad ameyasema hayo katika mafunzo yaliyotolewa kwa watu wa kada mbalimbali kuhusu Toleo la Vijarida Maalumu vya Wananchi kwa mwaka wa fedha ulioishia Juni mwaka 2014 na kukusanya maoni ya ripoti ya CAG.

“Hili limekuwa tatizo kubwa hapa nchini. Utakuta fedha zimetengwa kwa mradi fulani, badala yake wanabadilisha matumizi na kununua vitu ambavyo havina stakabadhi,” amesema Profesa Assad.

“Lengo kuu la fedha hizo za miradi ni kutumika katika shughuli za maendeleo na kutoa huduma muhimu za kijamii.”
 
Duh! Halafu unakuta wakurugenzi wa halmashauri hizo pamoja na mkuu wa wilaya wapo kazini bado. Kwani mkulu anatumbua majipu yaliyokaa wapi hasa? Anayaonea kinyaa majipu yalijificha kwenye halmashauri zetu au ni kifaa gani hana cha kuyatumbua hayo majipu? Aanze ni manispaa ya kinondoni kisha aende nyinginezo. Híi manispaa pesa za likizo za walimu za toka 2013 desemba hazijalipwa huku serikali ikiwapa pesa hizo kila mwaka. Ukiichunguza vyema utaziona hata pesa za kuwalipia watumishi waluoomba kujiendeleza zilipigwa na vielelezo kunyofokewa kwenye mafaili yao kwa kipindi cha 2009 hadi 2012.
 
Dar es Salaam. Ni jipu. Ndivyo unavyoweza kusema, baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad kusema halmashauri 34 nchini zimetumia Sh1.45 trilioni za miradi kugharimia shughuli ambazo hazikuwamo kwenye bajeti.

Profesa Assad ameyasema hayo katika mafunzo yaliyotolewa kwa watu wa kada mbalimbali kuhusu Toleo la Vijarida Maalumu vya Wananchi kwa mwaka wa fedha ulioishia Juni mwaka 2014 na kukusanya maoni ya ripoti ya CAG.

“Hili limekuwa tatizo kubwa hapa nchini. Utakuta fedha zimetengwa kwa mradi fulani, badala yake wanabadilisha matumizi na kununua vitu ambavyo havina stakabadhi,” amesema Profesa Assad.

“Lengo kuu la fedha hizo za miradi ni kutumika katika shughuli za maendeleo na kutoa huduma muhimu za kijamii.”
Swala ni kukosa stakabadhi na si kubadilisha matumizi.
 
Hizo halmashauri lazima zilikuwa au bado zipo chini ya ccm maana kwa kupiga hela ya Serikali nawaaminia
 
Dar es Salaam. Ni jipu. Ndivyo unavyoweza kusema, baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad kusema halmashauri 34 nchini zimetumia Sh1.45 trilioni za miradi kugharimia shughuli ambazo hazikuwamo kwenye bajeti.

Profesa Assad ameyasema hayo katika mafunzo yaliyotolewa kwa watu wa kada mbalimbali kuhusu Toleo la Vijarida Maalumu vya Wananchi kwa mwaka wa fedha ulioishia Juni mwaka 2014 na kukusanya maoni ya ripoti ya CAG.

“Hili limekuwa tatizo kubwa hapa nchini. Utakuta fedha zimetengwa kwa mradi fulani, badala yake wanabadilisha matumizi na kununua vitu ambavyo havina stakabadhi,” amesema Profesa Assad.

“Lengo kuu la fedha hizo za miradi ni kutumika katika shughuli za maendeleo na kutoa huduma muhimu za kijamii.”
Whaaaaat
 
1467542415504.jpg
 
Chadema mpaka sasa hawajapeleka gharama za walizotumia kwenye uchaguzi unategemea nini ??

Wamejifungia kutunga matumizi ya uongo ili kufidia wizi wao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom