brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,382
Shirikisho la soka barani limebadilisha mfumo wa uendeshaji ya michuano ya klabu bingwa barani africa na kombe la shirikisho kutoka kuwa na makundi 2 hadi kwenye mfumo wa makundi 4 . hii imetokana na makamuni 7 zaidi kuingia kwenye udhamini
CAF wamebadili muundo wa mashindano ya
klabu bingwa na kombe la shirikisho kuanzia
mwakani, sasa klabu bingwa hatua ya 16 bora
itachezwa katika makundi 4 ya team nne nne na
timu mbili za mwanzo kila kundi zitafuzu hatua
ya nane bora, timu zitakazotolewa katika hatua
ya 32 bora kuelekea 16 bora klabu bingwa
zitacheza michuano ya confederation cup nayo
katika muundo huo huo.
Ni nafasi nzuri kwa klabu za T
anzania kutumia nafasi hii kufanya vizuri michuano ya africa