OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,191
- 103,711
Timu tishio Afrika Simba Sc inazidi kujikita kuelekea kuwa timu Kigogo barani Afrika. Ilipo Yanga waulizwe Yanga wenyewe
Goo Simba Goo
Goo Mo Dewji Goo
Mambo super kwa Yanga??Mwakani mambo super
I mean tutaingia hiyo top tenMambo super kwa Yanga??
I mean tutaingia hiyo top ten
Mimi simba damuNyie wa mchangani tu labda mkazane kubeba watu View attachment 1812057
haya nawatakia uingiaji mwema 🤣🤣🤣🤣I mean tutaingia hiyo top ten
SawaI mean tutaingia hiyo top ten
Tulienda South bila kua na strategy za kukwepa figisu za AmakhosiHawa umbwa kaizer tungewafurumusha tumgekuwa huko kwa horoya huko, hii game inaniuma mpaka kesho..
Wakati mwingine mpira una matokeo ya kikatili mnoo
Simba wameloga mpaka hatuonekan kwenye list.ngoja tumrudishe manji wetu tushike 3 bora cufWatani sijawaona yaani
Zote hizo ni figisu za 'WARIAHE' KARIA. Ndiyo maana tunataka aondoke!Simba wameloga mpaka hatuonekan kwenye list.ngoja tumrudishe manji wetu tushike 3 bora cuf