Cabinet mpya: Wananchi kuumia na inflation kwa kurudishwa Mkulo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cabinet mpya: Wananchi kuumia na inflation kwa kurudishwa Mkulo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TanzActive, Nov 25, 2010.

 1. T

  TanzActive JF-Expert Member

  #1
  Nov 25, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 350
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa kipindi cha Miaka mitano iliyopita, serikali ya JK ilishindwa kuudhibiti mfumuko wa bei kabisa
  kwa mfano , katika zili bidhaa muhimu kila siku kwa maisha ya Mtanzania wa kawaida zimepanda toka 2005 hadi 2010 kama ifuatavyo:
  kodi ya chumba chenye umeme na dari : 20,000/= to 50,000/=
  Gunia la mkaaa 10,000/= to 35,000/=
  Mchele kg 1 500/= t0 1,500/=
  sukari 600/= to 1,800/=
  mafuta ya kula Alizeti 3Ltrs 3,500/= to 10,00/=
  unga wa Sembe 1kg 250/= to 700/=
  Nyama 1kg 3500/= to 5000/=
  umeme unit 1 80/= to 156/=

  Ukiangalia hapo juu bei zimepanda zaidi ya mara 3 kwa kipindi cha miaka 5 , mimi sielewi wale wanaosema mfumuko wa bei ni below 5%

  Ukilinganisha na kipindi cha BM mambo yalikuwa shwali , mishahara ilikuwa na nguvu kabisa

  Ninaamini ni ushauri mbovu wa Mkulo and co ndio unaoleta hii tabu

  Serikali ya JK isipoangalia hili jambo, maisha yataendelea kuwa magumu na wananchi watapiga kura against CCM 2015
   
 2. T

  Tutashinda Member

  #2
  Nov 25, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli bei ya vitu Ngugu ya imepanda sana
  mimi sijaelewa inaposemwa uchumi umekuwa ili hali ninaona mshahara wangu unapua purcharsing power siku hadi siku

  Kuna kitu kinatakiwa kifanyiki kuhusu hili , wale wataalamu wa chumi hapa jamvini ,tunaomba analysisi zenu
   
Loading...