Cabinet Baada Ya Lowassa: Waziri Mkuu Mpya Atakuwa Nani?

Jamani nimeona watu mkitaja Wassira! huyu jamaa anafaaa? mbona sipati picha! Mwenye nondo animwagie.
 
Kikwette aandike barua to the UN and ask for the emediate return of Dr Asha Rose Migiro..her country need her!!!
 
Jamani nimeona watu mkitaja Wassira! huyu jamaa anafaaa? mbona sipati picha! Mwenye nondo animwagie.

TZ PRIDE, NAWEZA KUTOA SIFA KADHAA KISIASA NA UONGOZI SERIKALINI

- HE IS RELATIVELY CLEAN KWA ETHICS NA KNOWN KWA UCHAPA KAZI, NONDO:TOKA AONDOKE WIZARA YA MAJI, PAMEPOROMOKA SANA PALE..NEW MINISTER WA MAJI HIVI SASA YE ALIWAHI KUJIITA JUNIOR WASIRA

- TYSON PIA NI KICHWA,HANA MCHEZO KWENYE KAZI,ELIMU SCHOLAR 3 OR 4 DEGREE, US EDUCATED(UCHUMI), SEASONED/EXPERIENCED KIKAZI NA NI ANAHESHIMIKA NDANI YA CABINET NA BUNGE..A BIG BROTHER TYPE

-POWERFUL COMMUNICATOR (UWEZO MKUBWA WA KUJENGA HOJA BUNGENI NA KUJIBU MAJI, KILIMO)..2006 AKIWA MAJI,ALIMJIBU ZITO KABWE MPAKA ZITO AKAMPIGIA MAKOSI, STANDING OVATION..HE IS A FAVOURITE DURING Q&A SESSION ZA BUDGET..

-KISIASA: 2005 ALPITA UBUNGE BILA KUPIGWA JIMBONI BUNDA. STRONG LAKE ZONE POLITICIAN, ACCORDING TO PUNDIT

ALICHAGULIWA 10 TOP KWENYE KUNDI LA KIFO UCHAGUZI WA NEC,
HOWA ANASAFIRI HATA KWENYE TRENI NA WAJUMBE WOTE WA ZIWA, HE RELATES TO THE LITTLE PEOPLE.NOT EXTREMELY WEALTH OR CROOKED

JK PIA ALIMPENDEKEZWA CC YA CCM...INASEMEKANA ANA UWEZO WA KUONGEA LUGHA NYINGI ASILIA NA HATA ALIWAFANYIA KAMPENI WAGOMBEA KADHAA KWA LUGHA NYINGI HILO KISUKUMA, KINYAMWEZI, KIHAYA,KIKEREWE, JITA, KURYA, ZANAKI, KWAYA, USHASHI IKIZU, JALUO.. NADHANI NI ASSET KIUONGOZI NA KISIASA KWENYE POPULAS AREA YA KANDA YA ZIWA. THIS MATTERS KULE NA 2010..

IN SHORT,NADHANI ANAPENDA WATU NA NCHI KAMA JK..HAWA NI PRODUCT ZA JKN

BACKSIDE
-NADHANI TOO MUCH IMEKUWA SAID KUHUSU UBABE NA HASIRA ZAKE LABDA UKIITWA TYSON, BASI ILA BWM, LOWASSA, SUMAYA HATA MALECELA WAMEWAHI KURIPOTIWA NA HASIRA

OPINION YANGU ANAFAA HUYU, NA KAMA KWELI NI CHAGUA ZURI KU-RESTORE HESHIMA YA GOVT ILIKUWA INAPOTEA KILA KUKICHA..SI FISADI HUYU
 
Serengeti,

1. Hivi mawaziri waote wakuu ni lazima watoke Mara, Arusha/Manyara na Dodoma?

2. Tatizo kubwa la Tyson ni divided loyalty yake kwa CCM he defected to NCCR Mageuzi. So imani ya CCM kumpa cheo cha u PM sii rahisi!
 
Serengeti,

1. Hivi mawaziri waote wakuu ni lazima watoke Mara, Arusha/Manyara na Dodoma?

2. Tatizo kubwa la Tyson ni divided loyalty yake kwa CCM he defected to NCCR Mageuzi. So imani ya CCM kumpa cheo cha u PM sii rahisi!

Mzalendo,

1. Sijui lakini kweli Mara, Arusha/Manyara na Dodoma na hata Kilimanjaro (Msuya) na Pemba nimekumbuka wametoa PM (Salim)..sijui kwa nini

2.Sidhani hata anakumbuka NCCR huyo..

Tyson last year kaingia mpaka NEC, kapedekezwa kamati kuu na JK. nadhani wabunge wako more sophicated kisiasa,na ndio hupitisha..Nadhani backlash ya NCCR or hisia za Divide loyalty zingemhukumu Uchaguzi wa NEC zaidi ya Bunge..sijui, not sure, najua Makamba rallies wabunge wa CCM Bungeni(Mb pia),yoyote M/kiti or JK akipendekeza CCM loyalty 1st.
 
Habari zinazoifikia intelligence unit yangu na wenzangu zinasema kuwa Kikwete atampendekeza Mama Ana Makinda kuwa waziri mkuu mpya wa jamhuri ya Tanzania.

Source karibu kabisa na Kikwete zinasema kuwa wanamtandao wanataka kuwa na mtu ambaye hana ambition za uraisi na wala hana nafasi ya kumfunika Kikwete katika utendaji kazi wake.

Kumbuka hii habari inaweza kubadilika kutokana na upinzani fulani unaoonyesha na waziri mmoja ambaye ni rafiki mkubwa wa Kikwete na ambaye anasubiria hii nafasi kwa hamu kubwa pia.

Wana JF watch this thread wakati hii habari ikiendelea kufunguka na uhakika wote ukiendelea kuwekwa kuwa Kikwete hatabadilisha mawazo yake katika hatua za mwisho mwisho kama alivyofanya b4

.....

My Take......

Kwa vile inaonekana PM atakuwa chaguo la kikwete, binafsi ninaunga mkono Mama Makinda for PM! at least for now....

tik tak tik tak tik......

Nitashangaa sana kama Anna Makinda atapewa hiyo nafasi ya u-PM ... inasemekana huyo mama hana hata mume; sasa mtu anayeshindwa "kuongoza" famlia yake ataweza kuongoza watu milioni 40??!!
 
Mtanzania umenichekesha kweli na hili neno la mitumba, actually you're right, watu wengine sasa wamegeuka mitumba kwetu majina tunayasikia tangu tuzaliwe na sasa tunazeeka bado wapo tu kwani wengine hawapo? au ndio ile methali " Old is gold" then we need to make a new one "Young is diamond" since diamond has more value than Gold.
Mungu inusuru Tz tunahitaji viongozi wenye busara sana hasa wakati huu na sio viongozi jina manake madhara yake ni makubwa, we will pay expensive for our mistakes!Not any more!!!we had lots of misery already.







Hivi tumekosa watu mpaka turudi kwenye mitumba? Hao wazee walishatimiza majukumu yao na sasa vijana wapewe nafasi ya kuongoza.

Kwa utendaji ninaouona toka kwa PM na baraza la mawaziri naamini vijana wengi tu wanaweza kufanya hizo kazi kwa ufanisi mkubwa.

Blair alikuwa na miaka mingapi alipokuwa waziri mkuu? Muhimu ni kuwa mwepesi wa kuelewa, kukubali kujifunza na kuwa na wasaidizi wanaofaa.
 
Gone joining Lowassa, Karamagi and Msabaha are: Nchimbi, Mungai, Mramba, Ghasia, Chenge, Bendera, Diallo, Mwanyika, Meghji, Hosea... Please add more

New AG could be Maria Kejo/Ndosi as compromise (if JK compromises with EL)

For PM, Marmo, Magufuli, Membe, Mwandosya, Wasira,

Do not be suprised kuona wapinzani kwenye mawaziri

On CCM side, I hope they rid these guys out of chama kabisa, Mramba, Karamagi, Rostam, Msabaha, Lowassa!
 
Kishoka huyo Maria Kejo si ndio ametuingiza kwenye mikataba ya ajabu ajabu sana na tuliwahi kumwongelea humu...naona hapo ni kurudishana nyuma kuweka watu kama hao ambao ndio walioshirikiana na kina Karamagi kwenye ile mikataba mibovu
 
Helo wana jf,, Mimi nadhani tunatakiwa kuwa sehemu ya mabadiliko, BE THE CHANGE, AND NOT READY FOR CHANGE.Tumwache Mhe. JK atuletee yeye mwenywe PM anayefaa kuliongoza jahazi linanalo zama, kwani kwa sasa nchi yetu inahitajia PM mtendaji na si bora msemaji semaji kama viongozi wetu tuliyo wazoea, tunataka mtu atakeye weza kuwasafisha MAFISADI kama kina Lowasa,mimikwa kwelinina hasira sana na hawa jamaa, tafadhali kwani lini kutakuwa na maandamano? nahitaji kushiriki katika hili, nimechokakufanya kazi katika majengo ya Mafisadi hawa, pls jamaani nchi inaungua kupita kiasi, tutaendelea kukaa katika majengo yaotukifanya kaziza makampuni yanayowapa kodi ya pango kubwa mpaka lini? Wana JF NIMECHOKA WAZEE.
 
Kishoka huyo Maria Kejo si ndio ametuingiza kwenye mikataba ya ajabu ajabu sana na tuliwahi kumwongelea humu...naona hapo ni kurudishana nyuma kuweka watu kama hao ambao ndio walioshirikiana na kina Karamagi kwenye ile mikataba mibovu

Mkuu Koba

Huyo Maria Kejo Tayari Mh. Slaa ameisha muanika kwenye bungeni jana kuwa ni FISADI na ana ushirikiano Mzuri tu na MAFISADI. Sasa hivi Tanzania nzima inajua hilo na nilitegemea leo awe POlisi.

Kwa hiyo Msahau kabisa hawezi kuoshwa akatakata.
 
Mzalendohalisi,
Nooo, bob niko serious. Huyu jamaa kama unakumbuka tulikuwa na ubishi fulani siku za nyuma kati yake na Mwandosya...wakampaka sana kuwa ni mtandao, zizi moja na EL na RA...

Tumeona kamati kibao zikichaguliwa na hakuna hata moja iliyowahi ku deliver isipokuwa hii. Na huyu mkulu kama mwenyekiti angeweza kabisa kuzuia baadhi ya vitu visijadiliwe ama kuchunguzwa na kama EL ama RA walishindwa kumzuia ina maana moja tu... he is clean!

Mkandara,

Nafikiri unachanganya majina. Dr. Mwakyembe, hajawahi kuwa Mtandao na badala yake ni mtu wa karibu sana wa prof. Mwandosya.

Kwa muda sasa hawaelewani na Lowassa maana Lowassa anamuunga mpinzani wa Mwakyembe kule Kyela ambaye ni mkuu wa mkoa wa Mbeya, John Mwakipesile.

Nafikiri unayemwongelea wewe ni Prof. Mwakyusa.
 
Nitashangaa sana kama Anna Makinda atapewa hiyo nafasi ya u-PM ... inasemekana huyo mama hana hata mume; sasa mtu anayeshindwa "kuongoza" famlia yake ataweza kuongoza watu milioni 40??!!


Usimuhukumu kwa hilo,kuwa au kutokuwa na ndoa sio kipimo cha uadlifu.Isipokuwa kuwa na ndoa halafu ukawa sio mwaminifu huo sio uadilifu !!!!
 
Kishoka huyo Maria Kejo si ndio ametuingiza kwenye mikataba ya ajabu ajabu sana na tuliwahi kumwongelea humu...naona hapo ni kurudishana nyuma kuweka watu kama hao ambao ndio walioshirikiana na kina Karamagi kwenye ile mikataba mibovu
Umesahau kuwa yupo kwenye Tume ya Rais ya Madini chini ya Jaji Bomani?
 
Back
Top Bottom