Cabinet Baada Ya Lowassa: Waziri Mkuu Mpya Atakuwa Nani?

Hivi Makinda ni Mwadilifu? Kuna mtu anajua mali zake?

Kigezo muhimu iwe ni rekodi yake na sii mda aliyetumika!

Naona kama Makinda ni mtu mpole sana!
 
Ninaye jamaa yangu ambaye alikuwa anamcheki binti yake huyu Anna Makinda
sista duu alikuwa yuko states

hivyo kupata habari za Anna Makinda si kazi sana

ile najua ile issue ya MTWARA CORRIDOR awlaiwaudhi sana watu

stay tuned
 
Aisee MWK,hizi habari umezipata kutoka source gani nyeti namna hii??Yaani na jina lishajulikana Tayari??
Nilihisi Ni Pombe/Membe.Duhh!Sitaki kuwa too Presumtuous,tusubiri tu Kesho si mbali!!
 
Hivi Makinda ni Mwadilifu? Kuna mtu anajua mali zake?

Kigezo muhimu iwe ni rekodi yake na sii mda aliyetumika!

Naona kama Makinda ni mtu mpole sana!

Mzalendo halisi,

Mimi sijui ni kigezo gani kinatumika hapa ila majina yanayorushwa so far yanafanya vigumu kuformulate vigezo vinavyotumika.

kwi kwi kwi... naona unasema mama Makinda ni mpole .... yaani kwa maana nyingine unaona kuwa Mama Kilango ni mkali sana kupewa U-PM?.....

Zamu ya wanawake sasa imefika..... Mama Kilango naye na quote zake za leo bungeni zilikuwa kali na nimecheka sana kusikia akiongea!....
 
Habari zinazoifikia intelligence unit yangu na wenzangu zinasema kuwa Kikwete atampendekeza Mama Ana Makinda kuwa waziri mkuu mpya wa jamhuri ya Tanzania.

Source karibu kabisa na Kikwete zinasema kuwa wanamtandao wanataka kuwa na mtu ambaye hana ambition za uraisi na wala hana nafasi ya kumfunika Kikwete katika utendaji kazi wake.

Kumbuka hii habari inaweza kubadilika kutokana na upinzani fulani unaoonyesha na waziri mmoja ambaye ni rafiki mkubwa wa Kikwete na ambaye anasubiria hii nafasi kwa hamu kubwa pia.

Wana JF watch this thread wakati hii habari ikiendelea kufunguka na uhakika wote ukiendelea kuwekwa kuwa Kikwete hatabadilisha mawazo yake katika hatua za mwisho mwisho kama alivyofanya b4

.....

My Take......

Kwa vile inaonekana PM atakuwa chaguo la kikwete, binafsi ninaunga mkono Mama Makinda for PM! at least for now....

tik tak tik tak tik......
Hii kama si Udaku ni Jokes, then kuna barza yake... ingefaa ipelekwe huko.
 
mie mbona habari zilizo nifikia ni kati ya mdhihiri na bendera!!!! ziangalie tena duru zako......lol.

Duh! Sidhani kama Kikwete atakuwa katuchoka namna hiyo kumuweka Mudhihir katika nafasi nyeti kama hiyo, kwa sababu ni huyu aliyesabisha wabunge wazomewe mitaani.
Mudhihir is not that smart to deserve this post please!

Hivi Makinda ni Mwadilifu? Kuna mtu anajua mali zake?

Kigezo muhimu iwe ni rekodi yake na sii mda aliyetumika!

Naona kama Makinda ni mtu mpole sana!

Nakuunga mkono mkuu!
Tujaribu mwanamama sasa! Watu wananong'ona kuhusu mama Ghasia, wewe unasemaje?
 
Tanzania tunahitaji politiko analysts kama bbc, fox new, cnn etc.

Mzee MKjj nenda home ndugu yangu kazi inakufaa hii.
 
Kama ningesikilizwa basi nafasi hii angepachikwa au angelipewa tena Salim ahamed ,basi Tanzania ingekuwa moto moto katika maendeleo ya haraka ,ni wazo tu lakini huyu mtu ni mchapa kazi na hana doa zaidi ya matope aliyopakwa ,na vilevile hana muhali ni hatari kwa viongozi wala rushwa.Labda tatizo ni ule ubaya wa Mawaziri wawe ni wabunge ,hatari ambayo huko vijijini na mikoani wakachagua wabunge wasioweza kubeba mizigo ya kiserekali ambayo inahitaji usomi ufundi na uzoefu wa hali ya juu ,japo wasomi wametapeliwa.
 
Habari zinazoifikia intelligence unit yangu na wenzangu zinasema kuwa Kikwete atampendekeza Mama Ana Makinda kuwa waziri mkuu mpya wa jamhuri ya Tanzania.

Source karibu kabisa na Kikwete zinasema kuwa wanamtandao wanataka kuwa na mtu ambaye hana ambition za uraisi na wala hana nafasi ya kumfunika Kikwete katika utendaji kazi wake.

Kumbuka hii habari inaweza kubadilika kutokana na upinzani fulani unaoonyesha na waziri mmoja ambaye ni rafiki mkubwa wa Kikwete na ambaye anasubiria hii nafasi kwa hamu kubwa pia.

Wana JF watch this thread wakati hii habari ikiendelea kufunguka na uhakika wote ukiendelea kuwekwa kuwa Kikwete hatabadilisha mawazo yake katika hatua za mwisho mwisho kama alivyofanya b4

.....

My Take......

Kwa vile inaonekana PM atakuwa chaguo la kikwete, binafsi ninaunga mkono Mama Makinda for PM! at least for now....

tik tak tik tak tik......

WooooW!
Do they still teach this stuff in propaganda school?

That may be good choice thou, for now.
 
Dr. Mwakyembe!
Kwa nini?....
Kwa sababu:-
1. Ndiye pekee ameweza kusimama na kusoma hotuba ambayo hata Lowassa mwenyewe hakutegemea kuona umahiri wa mjomba...Kumbukeni ktk utangulizi wa hotuba yake alisema baadhi ya vigogo waliingiwa woga kutoa ushahidi na kulingana.. hawa ikiwa ni pamoja na baadhi ya mawaziri wetu... na habari za huko bungeni watu walishita matama yao mjomba alivyokuwa akiondoka na hotuba yake bila wasiwasi

2. Kutokana na uchunguzi huo kisha wajua wabaya wetu wengi sana na kama Waziri mkuu mapendekezo mengi ya kamati yake bila shaka atayafanyia kazi.

3. Mmoja kati ya wana kamati hiyo achukue nafasi ya Hosea..

Kama isingekuwa Ufisadi kuwa chanzo na cheche za kulivunja baraza nadhani Rais ana kila sababu ya kukaa na Dr. Mwakyembe kwanza kwani wamo wengi waliojificha chini ya kivuli cha Lowassa, tunaweza kuupanda mkenge kwa mara ya Pili..
Ni maoni yangu nje ya hapo nadhani makamu atoke visiwani nikitanguliza jina la Salim.
 
Mzalendohalisi,
Nooo, bob niko serious. Huyu jamaa kama unakumbuka tulikuwa na ubishi fulani siku za nyuma kati yake na Mwandosya...wakampaka sana kuwa ni mtandao, zizi moja na EL na RA...

Tumeona kamati kibao zikichaguliwa na hakuna hata moja iliyowahi ku deliver isipokuwa hii. Na huyu mkulu kama mwenyekiti angeweza kabisa kuzuia baadhi ya vitu visijadiliwe ama kuchunguzwa na kama EL ama RA walishindwa kumzuia ina maana moja tu... he is clean!
 
Amini usiamini, 'Sikio la Kufa Halisikii Dawa' sadly enough Waziri Mkuu Mteule ni "Chenge".
 
Mzalendohalisi,
Nooo, bob niko serious. Huyu jamaa kama unakumbuka tulikuwa na ubishi fulani siku za nyuma kati yake na Mwandosya...wakampaka sana kuwa ni mtandao, zizi moja na EL na RA...

Tumeona kamati kibao zikichaguliwa na hakuna hata moja iliyowahi ku deliver isipokuwa hii. Na huyu mkulu kama mwenyekiti angeweza kabisa kuzuia baadhi ya vitu visijadiliwe ama kuchunguzwa na kama EL ama RA walishindwa kumzuia ina maana moja tu... he is clean!

Mkandara,

1. Logically Mwenyekiti wa Kamati iliyomtoa EL hawezi kuchukua nafasi ya EL kwa sasa- italeta mgawanyiko CCM!

2. Salim ana uwezo- ila kumbuka factor ya dini- JK, Shein ni Waislam- Waziri Mkuu atakuwa Mkristo!

3. Mwakyembe anaweza kuanza kundaliwa kuchukua nafasi ya JK 2015, wanaweza kumpa uwaziri wa nje baadaye ktk kumwandaa!

Ili kupooza mambo, kuua mtandao na kupunguza gharama kuwahudumia mawarizi wakuu wengi naona JS Malecela atarudishwa hadi 2010 ndo ateuliwe mwingine!
 
Mzalendohalisi,
Mgawanyiko upi tena huo?...Kwa sababu Fisadi kaondolewa yaa ni maana huyu EL bado ana washabiki wake CCM..
Kifupi this guy ni Criminal hata kama baba yake ni CCM, inabidi wamteme, hata Ubunge wake uwe batili kama kweli wanataka kuoga janaba la EL..
Na kama kweli wapo watu ndani ya CCM watakao jitenga ati kwa sababu ya Dr. Mwakyembe, then hawa watu hawatutakii mema.
Binafsi ngoma hii ya Tanesco bado kabisa na anahitajika mtu anayeifahamu na mwenye uwezo PM kuitekeleza.
Mwandosya, Salim na wengine wote wasubiri mwaka 2015 na kama unakumbuka ktk historia ya Tanzania hakuna waziri mkuu aliyewahi kuwa rais..kwa hiyo maandalizi yatafanyika kichama na sisi Chadema tuna anda wa kwetu..
Kumalizika kwa EL haina maana CCM ni safi bado kabisa mkuu wangu kuna makampuni mia kidogo yaliyopitia mchezo kama huu halafu vigogo ni wale wale....
 
JK SHORT LIST YA PM NI KATI YA HAWA (5):

1.BENARD MEMBE (KUSINI)

2.MIZENGO PINDA (NYANDA ZA JUU KUSINI/MAGHARIBI)

3.STEVEN WASSIRA (KANDA YA ZIWA)

4.PHILIP MARMO (KANDA YA KASKAZINI)

**5.SAMWEL SITTA ( KANDA YA KATI)

***5. Mzee 6 Inaweza kuwa Ruled Out kutokuwa tayari Waziri, atakuwa mkristo kati ya hao, kutoka kanda kasoro Mashiriki, JK ni EAST tayari...Sio Mwanamke, ni Mwanaume!!
 
Back
Top Bottom