Life starts at 45
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 976
- 932
Kumekuwa na mlolongo juu ya minimum point zinazokuwezesha kuchukua degree. Mwaka Jana kuna rafiki yangu wa o level alipata E E C, mda wa kuomba vyuo nikamwuliza umechagua vyuo gani akaniambia hana qualify nikamwambia hapana unavyovigezo baada ya kumshinikiza ndio akaomba udom degree na akapata software engineering. Nimekagugua na guide book kutoka TCU naona bado hata kwa mwaka huu wa masomo bado mtu mwenye ufaulu kwanzia wa EC basi anaweza chukua degree kama hutaki kuniamini Mimi basi natuma guide book uisome mwenye
and you will thank me latter.
and you will thank me latter.