C+E(3+1)=4, Jamani hizi zinakuwezesha kuchukua degree usiwe na mashaka

Life starts at 45

JF-Expert Member
Sep 22, 2015
976
932
Kumekuwa na mlolongo juu ya minimum point zinazokuwezesha kuchukua degree. Mwaka Jana kuna rafiki yangu wa o level alipata E E C, mda wa kuomba vyuo nikamwuliza umechagua vyuo gani akaniambia hana qualify nikamwambia hapana unavyovigezo baada ya kumshinikiza ndio akaomba udom degree na akapata software engineering. Nimekagugua na guide book kutoka TCU naona bado hata kwa mwaka huu wa masomo bado mtu mwenye ufaulu kwanzia wa EC basi anaweza chukua degree kama hutaki kuniamini Mimi basi natuma guide book uisome mwenye
and you will thank me latter.
Screenshot_20190713-162841.jpeg
 
Ata ukiwa na A ktk somo moja ila mengine ukipigia EE huwez chaguliwa kusoma degree
 
Issue hapa naona wanataka ufaulu wa masomo mawili kuanzia na 'D' na sio points 4
 
... a total of 4.0 points in two subjects...
Kuna ugumu gani hapo kuelewa hilo. Ukiwa na kuanzia DD ni sawa, ukiwa na kuanzia CE ni sawa pia. Easy!
Umeambiwa angalau uwe D Mbili kwa masomo mawili.... sasa naona unangangania points 4.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom