Masiya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 7,578
- 7,281
Ukisoma kitu soma kwa umakini. Umewekewa bandiko kwa mfano mchango No. 43 wa Kng Dav II kutoka UDSM wanataka "4 points from two subjects" sasa point 4 unazipataje? DD au CE.Ndio E ni principal pass lakin TCU wanasema wanataka principal pass mbili kuanzia D Sasa ww unapolazimisha..Wewe umefanya maombi lini ya E mbili ukakubaliwa?
Habari ya E mbili "Vijana watu walitinga Muhimbili UDSM na E mbili tu (Chemistry na Biology)". Hii ni ya enzi zetu -sijasema na E2 kwa sasa utatinga Muhimbili kwani hata wenye hizo PCB za DCC sasa hivi Muhimbili ni kaa la moto.