Mario Kejob
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 441
- 536
Sikukubaliana na wewe katika mambo haya.
1. Kuwagawa wachezaji katika makundi mawili yaani hawa ni wa benchi la kudumu na wengine wanacheza mechi zote bila mapumziko na hovyo kuwafanya wachezaji hao kuwa ma-God father hapo kwenye club.
2. Kutaka kuanza kuingiza chembe chembe za u-franco fone hapo kwenye club.
3. Huna credentials za kuwa cocha wa timu kama Simba. Kukaa jukwaani ni kichekesho.
4. Kuwatesa wachezaji kisailkoogia kama Ajibu, Mkude, Gadiel Michael, Kagere na wengineo.
5. Kutofanya sub kwa wakati muafaka na hasa kwa hao ma-God father ambao dalili zote zinaonyesha kuwa wamechoka
6. Kuuwa vipaji vya wachezaji wa ndani kwa kuwanyima game time.
7. Kushindwa kusoma matakwa ya mchezo na hivyo kupelekea kupoteza mchezo.
It's a high time now you go back to school for your credentials. I will just miss you a bit.