By having a social network accounts JK has proved that he s the man of the people!!

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
892
1,226
Ni kiongozi yupo duniani aliye madarakani au mstaafu mwenye account instagram??!Jibu ni hakuna!!!Wengi wanaogopa matusi na kukosolewa kwa yale waliyofanya kipindi cha uongozi wao but JK prove them wrong yeye ana insta account ambapo yeyote anaweza kumwambia chochote na akakiona directly
Aisee huyu mzee ni mvumlvu na mwenye busara
Tunahitaji viongozi wakubwa watatu kama hawa kutuonyesha ukomavu wa kisiasa.
JK ametuonesha tofauti za kisiasa isiwe sababu ya kututenganisha na watu wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaitwaje hiyo account nikamwambie mtu aliyetuletea amekuwa msiba wa kitaifa.
Nchi inaomboleza kila siku mpaka tufike 2020
 
Ni kiongozi yupo duniani aliye madarakani au mstaafu mwenye account instagram??!Jibu ni hakuna!!!Wengi wanaogopa matusi na kukosolewa kwa yale waliyofanya kipindi cha uongozi wao but JK prove them wrong yeye ana insta account ambapo yeyote anaweza kumwambia chochote na akakiona directly
Aisee huyu mzee ni mvumlvu na mwenye busara
Tunahitaji viongozi wakubwa watatu kama hawa kutuonyesha ukomavu wa kisiasa.
JK ametuonesha tofauti za kisiasa isiwe sababu ya kututenganisha na watu wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
SHAME He is the man of the wickeds. Remember Zanzibar 2015, election saga.Or I am sorry. You meant that he was a man of Tanganyikans few!
 
We kweli kichwa maji mkuu.

JK ndo ametufikisha hapa. Ametunga sheria ya mitandaoni; amenyang'anya ushindi wa Seif ZNZ, amemfukuza Lowassa CCM.]

Nani kakutuma?
Ni kiongozi yupo duniani aliye madarakani au mstaafu mwenye account instagram??!Jibu ni hakuna!!!Wengi wanaogopa matusi na kukosolewa kwa yale waliyofanya kipindi cha uongozi wao but JK prove them wrong yeye ana insta account ambapo yeyote anaweza kumwambia chochote na akakiona directly
Aisee huyu mzee ni mvumlvu na mwenye busara
Tunahitaji viongozi wakubwa watatu kama hawa kutuonyesha ukomavu wa kisiasa.
JK ametuonesha tofauti za kisiasa isiwe sababu ya kututenganisha na watu wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kiongozi yupo duniani aliye madarakani au mstaafu mwenye account instagram??!Jibu ni hakuna!!!Wengi wanaogopa matusi na kukosolewa kwa yale waliyofanya kipindi cha uongozi wao but JK prove them wrong yeye ana insta account ambapo yeyote anaweza kumwambia chochote na akakiona directly
Aisee huyu mzee ni mvumlvu na mwenye busara
Tunahitaji viongozi wakubwa watatu kama hawa kutuonyesha ukomavu wa kisiasa.
JK ametuonesha tofauti za kisiasa isiwe sababu ya kututenganisha na watu wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
It is an outright exaggeration! Duniani - hakuna? Kweli mahaba niue.
We kweli kichwa maji mkuu.

JK ndo ametufikisha hapa. Ametunga sheria ya mitandaoni; amenyang'anya ushindi wa Seif ZNZ, amemfukuza Lowassa CCM.]

Nani kakutuma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe utakuwa unataka kupata hela ya JK bure kwa kumpa sifa za kijinga. Sio kiongozi mmoja au wawili wenye account katika mitandao ya kijamii. Hata mkulu wa sasa anayo na kuna siku alimuandikia Trump kwa kizungu kibovu watu wakamponda baada ya dk chache akarekebisha. Wewe tuambie JK account yake hapa JF ni ipi ili tuongee naye na sio kutuambia kwenye mitandao ya kijamii kwa ujumla wake.
 
Ni kiongozi yupo duniani aliye madarakani au mstaafu mwenye account instagram??!Jibu ni hakuna!!!Wengi wanaogopa matusi na kukosolewa kwa yale waliyofanya kipindi cha uongozi wao but JK prove them wrong yeye ana insta account ambapo yeyote anaweza kumwambia chochote na akakiona directly
Aisee huyu mzee ni mvumlvu na mwenye busara
Tunahitaji viongozi wakubwa watatu kama hawa kutuonyesha ukomavu wa kisiasa.
JK ametuonesha tofauti za kisiasa isiwe sababu ya kututenganisha na watu wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki ulichokiandika hapa wewe hakuna namna nyingine ya kuelezea zaidi ya kusema ni unafiki.
 
Back
Top Bottom