Bwiru boys sekondary - sayansi bila physics

Ti Go

JF-Expert Member
Jun 28, 2012
880
842
Kuna kijana wa rafiki yangu kachaguliwa kujiunga kidato cha kwanza shule ya sekondari ya wavulana bwiru, cha kunishangaza shule ile haina soma la physics. Hii imekaaje? Akimaliza kidato cha 4 anàsoma mchepuo UPI kidàto cha 6 wa sayansi?
 
Nafasi ya Physics imechukuliwa na the most advanced subject liitwalo Engineering Science na History nadhani haipo kwa sababu masomo ya ufundi yamechukua nafasi yake,lakini akifaulu atachukua mchepuo wowote unaohusisha Physics!tena baadhi ya topics atazisoma O-level na huko mbele atafanya kurudia.hali itakuwa hivyo kama hiyo Bwiru ina masomo ya ufundi.
 
Mkuu toa hofu kabisa hapo ipo engineering science na ufundi pia ,History hakuna apo Na incase amemaliza cha nne ataweza kuchukua mchepuo wowote wa Physics, Pcb,Pgm,Pcm tena akiwa nondo
 
Back
Top Bottom