Bweni moja limeteketea kwa moto katika shule ya Iyunga Mbeya

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,879
6,356
Moto wateketeza mabweni 2 shule ya Sekondari ya Iyunga jijini Mbeya, chanzo bado hakijafamika.
==================
UPDATE
Moto umeunguza Bweni 1 la Shabani Robert, juhudi za kuzima moto zinaendelea.

Taarifa zaidi kukujia...
 
Imerudia tena!! si wiki jana tu yametokea kama haya haya, ina maana hatua za kutafuta na kurekebisha hitilafu hazikuchukuliwa!!, ee Mungu wangu kazi ipo
 
Hii elimu bure na kulazimisha watu wasiopenda elimu kwenda shule ni janga. Wanataka kurudi nyumbani kwa kisingizio shule imechomwa.
 
Back
Top Bottom