Bweni Lugoba Sekondari laungua moto

Jafar

JF-Expert Member
Nov 3, 2006
1,136
52
Taarifa za uhakika zilizonifikia bweni la wanaume katika Sekondari ya Lugoba iliyopo wilayani Bagamoyo jimbo la Chalinze limeungua moto. Chanzo cha moto hakijajulikana na polisi kutoka kituo kidogo cha Chalinze walikuwa wanaelekea kwenye shule.
 
duh, pole yao watoto hawa, plz get us more newz we have relatives there
 
Hali ya hatari hii jamani kwa vijana wetu! Nawapa pole sana, nina mtoto pale ila ni wa kike maana presha ilianza kupanda ghafla nilipoona hii thread. Nitafuatilia zaidi nami kujua kulikoni.
asante kwa taarifa
 
Robo tatu ya bweni la wavulana limeungua lakini hakuna mtoto yeyeto aliyepata madhara. Vifaa vya watoto ndani ya bweni vimeungua kabisa.
 
Hii si mara ya kwanza wa shule hii kuungua.Sijui tume iliyoundwa katika tukio la kwanza haikubaini chanzo?
 
Back
Top Bottom