Bweni la shule ya Sekondari ya wasichana ya Uchira Islamic iliyoko wilaya ya Moshi lateketea kwa moto

Why islamic schools ? Nn kinawapata wao tu ? Ebu tupewe jibu sahihi na mamlaka husika.
Bweni la shule ya Sekondari ya wasichana ya Uchira Islamic iliyoko wilaya ya Moshi vijijini mkoani Kilimanjaro, limeteketea kwa moto jioni ya Oktoba 16, 2020 na chanzo cha moto huo bado hakijajulikana mpaka sasa, hakuna kifo cha mwanafunzi yeyote.

Source:
View attachment 1602949
NI HIVII:

Chanzo cha moto ni kakikundi flani kapya ya Wanaojiita WAISLAM HALISI ambao wanaipinga BAKWATA na waumini wote walio chini ya BAKWATA na pia wanaisapoti BOKO HARAM ya Nigeria

Hata kuna anayejiita jina la yule kiongozi Mkuu wa BOKO HARAM, Waislam wa Same na mitaa ya kwa sadala walishakuta barua ya vitisho kutoka kwa hao wanaojiita WAISLAM HALISI ila wakasema watalitatua tu taratibu kupitia BAKWATA.

Ni kikundi ambacho Serikali inapaswa kukiangamiza mapema sana.
 
Hapo utawasikia wakisema tatizo ni wiring lakini zingekuwa zile za wale wengine tungeambiwa ni magaidi ndio wanachoma
Kabla ya kuanza kutapika, Fanya utafiti ujue ni nani wanaoratibu hili na kama hujui ni bora uulize au utulie kimya
 
Yengekua makanisa ama shule za mission, muda mrefu uchunguzi ungeshafanywa na jibu lingekuja kua ni Magaidi.

Tanzania nchi yangu inani kera linapokuja swala la imani.

Inapendelea ukiristo kwa wazi kabisa, na kukandamiza uislam.

Unaweza kuta kiongozi wa kiimani wa dini ya ki kristo akaongea kauli inayo hatarisha amani ya nchi na asifanywe lolote, lakini isitokee kwa kiongozi wa imani ya kiislam akaisema serkali, (hata kwa swala lenye manufaa kwa taifa ) kesho utasikia kesha kamatwa na kufunguliwa kesi.

Kila siku (mwaka huu tangu uanze) Shule za kiislam zinachomwa moto lkn sioni juhudi yoyote ya serkali ktk kuzuia hilo, achilia mbali kuchunguza.

Ivi Shekh ponda walisha mwachia au bado wamemvumbika nyuma ya nondo?
 
Sijali umri wako ila nimekutukana matusi yote mabaya,kichwani mwako kumejaa a skimmed pooh, mnafiki na mfitinishi wapi umeambiwa hawafanyi uchunguzi, unaushahid wa upendeleo wowote w kidini nchini au mk#N unakuwasha unataka ukuni
 
Kuna haja ya uchunguzi wa kina ufanywe ili kubaini wahusika zaidi maana kila mara ni shule za kiislamu.

Kuna kama hujuma sasa
 
Nilijua lazima watoto wa St kipapa mujitokeze tu.
Me ndio nishaongea kama inakuuma chomoa.

Hii ni nchi yetu sote, tena hizo harakati zenyewe za kumtoa mkoroni zime anziswa nyumbani kwangu (Daressalam / Pwani )
Kipindi hicho baba yako & mama yako (mkoani kwenu) wanavaa lupati (kiziba uchi).

Back
Top Bottom