Bwawa la Nyerere na MV. Mwanza ni kielelezo tosha kuwa Hayati Magufuli alitumia vyema pesa za umma. Sio hii habari ya tril 1 kujenga madarasa hewa

Hyo meli haina msaada wowote kwa watz zaidi ya hasara tu na kuwanufaisha watu wachache

Eti wameweka mpaka vvip ya watu wawili kwa akili zao wanategemea eti kuna kiongozi atapanda humo kwanza anapanda hyo meli ili aende wapi
 
Kwani jpm kafanya Nini kwenye hiyo meli zaidi ya kutamka ambapo hata Mimi ni ningeweza kutamka bila vitendo
Ujenzi wa gati na ujenzi ulikuwa ushaanza zaidi ya 20% huyo bibiako anatumia vision ya Magufuli! Ni mweupe sana kichwani!
We unaamini kabisa Samia tofauti na kazi za kike za madarasa aanaweza kuwa na project kubwa kama Nyerere Hydro,Busisi,SGR,Tanzanite,na flyover ,Meli nk?
 
Jpm alianzisha tu na Wala hajaweka hela yeye hata 20% na asingeweza. Zote 80% zimejengwa na mama. Mama ndo anastahili sifa ila jpm ni mwanzilishi tu theoretically but the practical part of it ni mama samia
Angekuwa ye bwawa la umeme ungekuwa umeisha
 
Bado hesabu hazikupigwa vyema, Kwa speedi ya uharibifu wa mazingira nchii hii lile bwawa linaweza sababisha raia waka kufuru bure, Hydropower kwa sasa ni changamoto sana angalia South Africa, angalia Zambia kule na Bwawa lao la Kariba 1636 Megawhat wana mgao wa kutisha kabisa.

Ethiopia wanaweza kuwa na uhakika kwa sababu wanachukua maji ziwa Victoria kupitia Nile, ila kwa huku tunakotegemea mvua lile bwawa ni hasara.

Na kumbuka Serikali haijali swala la Uharibifu wa mazingira yaani ni kama haiwahusu kabisa
Walikata miti 2M, ni mambo ya kijinga sn
 
Kwahiyo angeitelekeza miradi yote aliyoianzisha jpm halafu akaanzisha yake ndo ungefurahi au ungesems ni mbunifu? Mitanzania ni mijinga sana
Ujenzi wa gati na ujenzi ulikuwa ushaanza zaidi ya 20% huyo bibiako anatumia vision ya Magufuli! Ni mweupe sana kichwani!
We unaamini kabisa Samia tofauti na kazi za kike za madarasa aanaweza kuwa na project kubwa kama Nyerere Hydro,Busisi,SGR,Tanzanite,na flyover ,Meli nk?
 
Hakuawahi kushindwa, aliamua kuyaacha kabisa
Na mama Samiah alikuwa na mamlaka ya kuyaacha yale yote yaliyoanzishwa na mtangulizi wake ili ajipatie sifa kwa kile ambacho angekianzisha yeye lakini kwa sababu ya uzalendo na weledi wa utendaji kazi ameamua kuyamalizia yale yote yaliyoanzishwa na Kikwete pia hata yale yaliyoanzishwa na Magufuri.
 
Jpm alianzisha tu na Wala hajaweka hela yeye hata 20% na asingeweza. Zote 80% zimejengwa na mama. Mama ndo anastahili sifa ila jpm ni mwanzilishi tu theoretically but the practical part of it ni mama samia
Anayeanzisha ndiye anayejua zitatoka wapi. Anayeendeleza ashawekewa mezani zilizokusanywa. Jpm bado kinara wa maendeleo
 
Na mama Samiah alikuwa na mamlakambiwa ya kuyaacha yale yote yaliyoanzishwa na mtangulizi wake ili ajipatie sifa kwa kile ambacho angekianzisha yeye lakini kwa sababu ya uzalendo na weledi wa utendaji kazi ameamua kuyamalizia yale yote yaliyoanzishwa na Kikwete pia hata yale yaliyoanzishwa na Magufuri.
Hajaamua tu, huo ndio utaratibu. Bandari ya bagamoyo tuliambiwa kuna rushwa, mama kaamua mradi utaendelea, rushwa imeisha, ataendeleza gesi mtwara na miradi mingine, ni utaratibu sio tu kupuuza ya mtangulizi wako ili usifiwe. Lakini figisu ya ufunguzi wa bwawa si uliona?
 
Yaani waziri wa pesa anadai madarasa ya tril 1.3 yamejengwa lakini ukizunguka hapa nchini unakuta watoto wanakaa chini.

Bwawa la Nyerere linakamailika, Mv Nyerere imekamilika. Hii yote ni sababu ya hayati JPM kusimama kidete.

NB: Mimi siko genge lolote.
Issue ya madarasa inaboa sana, wanajinasibu wamepata matrilioni ya pesa kujenga madarasa lakini wananchi wanachangishwa pesa kujenga madarasa, hii mbona siielewi? Mliosoma Cuba mnisaidie
 
Ninachojua ni kwamba awamu hii inajitahidi sana kuhakikisha miradi yote aliyoianzisha Mwendazake inakamilika, kwa gharama yoyote ile maana wakiipuuza inakula kwao. Wataikamilisha halafu watajisifu ndio utaratibu wa serikali ya CCM.
Kwasababu ni muimu Kwa wananchi na alituambia anawasiwasi kama itaisha Kwa iyo alituachia tupime kiongozi mzuri na SS tunapima atakaye maliza ndie kiongozi bora na atastaili kura yetu
 
Jpm alianzisha tu na Wala hajaweka hela yeye hata 20% na asingeweza. Zote 80% zimejengwa na mama. Mama ndo anastahili sifa ila jpm ni mwanzilishi tu theoretically but the practical part of it ni mama samia
Una matundu kichwani yako wazi
 
Back
Top Bottom