Bwawa la Nyerere litajaa maji kweli!

Meshe

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
376
471
Kwa mabadiliko haya ya Tania nchi, Je? Bwawa la Nyerere huko Selous litajaa maji kweli, alafu baada ya muda gani?.

Mwenye data za kitaalam atutoe wasiwa isijekuwa tunafanya politik huku hela inaenda na upepo.

Vinginevyo tujiimarishe kwenye gesi na makaa ya mawe pamoja na renewable energies bila kujali kelele za COP26.

Tujixoeze kuwa wakweli hata kama tunaona ukweli haupendezi.
 
Wanga wengi wachawi kibao
Sasa sijui watu wanalichuria sana hili bwawa
 
Kwa mabadiliko haya ya Tania nchi, Je? Bwawa la Nyerere huko Selous litajaa maji kweli, alafu baada ya muda gani?.

Mwenye data za kitaalam atutoe wasiwa isijekuwa tunafanya politik huku hela inaenda na upepo.

Vinginevyo tujiimarishe kwenye gesi na makaa ya mawe pamoja na renewable energies bila kujali kelele za COP26.

Tujixoeze kuwa wakweli hata kama tunaona ukweli haupendezi.
ya kunye-shewa na mvua
 
Bwawa lazima likamilike
 
Litajaa vzr tu..hata usiwe na hofu..wasiwasi wangu je ukuta ni imara je kweli umeme utadhlishwa hizo megawat 1500??

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwani ni lazima lijae ? Lisipojaa tutatumia njia mbadala kama mgao wa umeme ili utoshe watu wote
 
Kwa mabadiliko haya ya Tania nchi, Je? Bwawa la Nyerere huko Selous litajaa maji kweli, alafu baada ya muda gani?.

Mwenye data za kitaalam atutoe wasiwa isijekuwa tunafanya politik huku hela inaenda na upepo.

Vinginevyo tujiimarishe kwenye gesi na makaa ya mawe pamoja na renewable energies bila kujali kelele za COP26.

Tujixoeze kuwa wakweli hata kama tunaona ukweli haupendezi.
Kwa mvua hizi za kuunga unga kwa kamba huenda likajaa kwa mwaka mmja badala ya miezi 6 inayotakiwa..
 
Kwanini lisijae wakati sahv kuna mvua

Haya leteni kizingizio kingine wazaa wa mipango

Ova
 
Back
Top Bottom