Bwawa la Kuzalisha Umeme la Mwalimu Nyerere: Tunaenda kuondoa tatizo la mgao wa umeme na kukatika mara kwa mara

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
325
414
Na Bwanku M Bwanku.

Moja ya mradi mkubwa wa kimkakati unaotekelezwa na Taifa letu kwasasa ni Mradi wa kufua umeme kwa kutumia nguvu ya maji maarufu kama Mradi wa kufua umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere kwenye Mto Rufiji mkoani Pwani.

Mradi huu mkubwa kabisa wa kufua umeme kwa maji utazalisha takribani Megawatts 2,115 kutoka kwenye Mto Rufiji,

Mradi huu mkubwa kabisa wa kihistoria ulibuniwa na kuasisiwa na Rais wa Awamu ya kwanza wa Tanzania Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere toka mwaka 1975 na kuanza kutekelezwa na Serikali ya Awamu ya 5 chini ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na sasa unakamilishwa na Serikali ya Awamu ya 6 chini ya Rais Samia Suluhu Hassan.

Mradi huu ni mkubwa sana na ni wa 4 kwa ukubwa katika miradi ya kuzalisha umeme wa maji Barani Afrika ukitekelezwa kwa takribani Shilingi Trilioni 6.5.

Mpaka sasa na kwa Mujibu wa Waziri mwenye dhamana ya Wizara ya Nishati inayosimamia mradi huu Mhe. January Makamba, mradi umefikia asilimia 56 ya utekelezaji wake huku kazi kubwa ikiendelea usiku na mchana kuukamilisha mradi kwa kasi, uadilifu, ubora na viwango vinavyotakiwa.

Mwaka Mmoja uliopita wakati Rais Samia anaingia madarakani mradi huu ulikuwa chini ya asilimia 40 ya utekelezaji wake lakini Mwaka Mmoja wa Rais Samia tayali umefikia asilimia 56 na Serikali mpaka sasa imeshalipa Trilioni 3.4 kwa Mkandarasi anayetekeleza mradi.

Tumesikia na wote tunajua habari ya ukubwa wa mradi huu, gharama ya utekelezaji, umeme unaoenda kuzalishwa na mambo mengine mengi sana kuuhusu mradi huo mkubwa wa Stieglers Gorge (Bwawa la Kufua Umeme la Mwalimu Nyerere) na leo wacha tuumulike mradi huu wa umeme wa maji, tujue idadi ya namba za Megawatts zinazokwenda kuzalishwa hapo na tafsiri yake kwa suala la umeme, kutibu uhaba na changamoto ya umeme nchini pamoja na maana yake kwa Watanzania na uchumi wetu.

Adhima ya utekelezaji wa mradi huu mkubwa kabisa wa kufua umeme inakuja wakati huu nchi ikiwa kwenye ujenzi wa uchumi wa viwanda, shindani na wenye kuleta maisha bora kwa watu ambao kwa kiwango kikubwa unategemea sana nishati ya umeme ya kuwezesha viwanda kupata nishati ya kutosha ili iweze kuzalisha vya kutosha na muhimu zaidi kwa gharama nafuu pamoja na shughuli zingine za watu.

Yote 9 lakini 10, licha ya yote ni wangapi tunaelewa tafsiri halisi ya Megawatts 2,115 za umeme zinazoenda kuzalishwa pale Mto Rufiji? kwa watu wa kawaida ambao si wataalamu wala wahandisi wanaelewa nini kuhusu Megawatts 2,115? twende sawa hapo chini.

Kwasasa toka tupate Uhuru mwaka 1961, nchi yetu nzima kutoka kwenye vyanzo vyetu vyote vya kuzalisha umeme vya Kinyerezi, Kidatu, Mtera, Nyumba ya Mungu na kwingine, tunazalisha Megawatts 1601 tu lakini Bwawa la Mwalimu Nyerere pekee yake linaenda kutupa Megawatts 2,115 za umeme wa uhakika tena wa maji ambao ni wa gharama nafuu zaidi kuliko aina yoyote ile ya umeme duniani ukiachana na umeme wa jua, upepo, nyuklia, makaa ya mawe, mafuta na gesi.

Kwa maelezo ya hapo juu pekee, nadhani utaelewa ukubwa na umuhimu wa mradi huu wa Mwalimu Nyerere.

Umeme unaozalishwa na maji ndio umeme wa gharama nafuu na rahisi zaidi kuliko umeme wowote ule duniani. Uniti 1 ya umeme inayozalishwa na maji ni shilingi 36 tu lakini umeme unaozalishwa na nyuklia Uniti 1 ni shilingi 65, umeme wa upepo shilingi 103.5, wa jua shilingi 103.5, wa makaa ya mawe Uniti 1 shilingi 114, wa joto ardhini 118, umeme wa gesi Uniti 1 shilingi 147 na wa mafuta ndio wa gharama kubwa zaidi ambao wenyewe Uniti 1 gharama yake ni juu sana kati ya shilingi 440 hadi 600.

Hii maana yake ni kwamba kukamilika kwa mradi huu wa Mwalimu Nyerere tutakuwa na Megawatts za umeme zaidi ya 3,000 wakati mahitaji yetu yakiwa hayazidi hayo na moja kwa moja kujihakikishia kama Taifa umeme wa kutosha na kuua hadithi za mgao wa umeme na uhaba wake, utakaolifanya Taifa kupitia Wananchi na Wawekezaji sasa kufanya shughuli zake za uzalishaji na zingine bila changamoto yoyote ile.

Lakini tafsiri yake nyingine ni kwamba, kukamilika tu kwa Bwawa hili la Mwalimu Nyerere la kuzalishaji wa umeme kwa kutumia maji kutashusha kwa kiwango kikubwa sana gharama ya umeme mpaka shilingi 36 tu kwa Uniti kutoka sasa ambapo Mtanzania anatumia zaidi ya shilingi 300 kununua Uniti 1 ya umeme, hivyo hapa moja kwa moja itatoa nafasi kwa bidhaa zetu za viwanda nazo kushuka sana, matumizi ya kawaida nyumbani kushuka maradufu na hata kwa watanzania watakaofungua viwanda vidogo kwa vikubwa wakinufaika sana na gharama ndogo ya uzalishaji wa bidhaa itakayoleta neema na nafuu mpaka kwa watu wa hali ya chini kabisa, machinga, mama nitilie, wajasiriamali na makundi mengine. Zaidi kuvutia uwekezaji.

Unapokuwa na umeme wa uhakika, lakini sio wa uhakika tu tena na wa gharama nafuu ya bei kama huu wa maji tunaokwenda kuzalisha kule Rufiji, tayali unavutia wawekezaji wengi zaidi kuja kujenga viwanda hapahapa.

Suala la uhakika wa umeme na nafuu yake ni mambo ya msingi sana na ya kwanza kabisa kwa mwekezaji yeyote anayefikiri kwenda kuwekeza sehemu yoyote ile duniani kwasababu kiwanda ni nishati.

Kuzielewa zaidi Megawatts hizi 2,115 za pale Mwalimu Nyerere na ukubwa wake ni rahisi sana hata ukipitia na kujua matumizi ya umeme na mahitaji ya umeme kwa taifa letu.

Mfano mwepesi tu ni kwamba mahitaji halisi ya umeme kwa mikoa kama ya Mtwara na Lindi ili umeme usikatike hata sekunde ni Megawatts 22 hadi 30 tu.

Tanzania ina mikoa 31, hivyo ukifanya kila mkoa upate Megawatts 50 tu kama makadirio ya juu kabisa hata kwa mikoa isiyozidi matumizi hayo maana yake ni sawa na kupeleka bahari ya umeme kila mkoa na bado matumizi yetu tutaishia Megawatts 1,550 na bado zitabaki Megawatts 565 kama akiba ya umeme tuliyoiweka kibindoni.

Bado hiyo Megawatts 50 kiwastani hata ukijumlisha mikoa yenye viwanda vingi na vikubwa kama Pwani, Dar es Salaam, Arusha, Tanga na Mwanza bado ni kubwa sana.

Nimeweka kwa kiwango cha Juu sana usisahau matumizi ya Mtwara na Lindi ni Megawatts 22- 30 tu.

Ina maana kwa Bwawa la Mwalimu Nyerere tu la kuzalishaji umeme, tunaenda kuua kabisa stori za mgao wa umeme na mambo ya umeme kukatikakatika pamoja na gharama za umeme kuwa juu.

Hapo wenye viwanda vikubwa, vya kati na vidogo kabisa watazalisha bidhaa zao bila tatizo na zaidi kwa gharama nafuu kwasababu ya urahisi wa gharama kwa umeme huu wa maji.

Vipi umefikilia hizo Megawatts zingine zaidi ya 500 ambazo tunakuwa tumezitia kibindoni baada kujihakikishia uhakika wa umeme nchi nzima kutoka kwenye vyanzo vyetu mbalimbali vya kuzalisha umeme?

Hapo tunaweza kuamua kuuza kwa majirani zetu hapo Kenya, Malawi, Uganda au Msumbiji ambako tunajua bado hawana uhakika wa umeme. Hapo unazungumza kuhusu umeme wa Rufiji tu, hujaenda Kinyerezi, Kidatu, Mtera, Nyumba ya Mungu na kwingine ambako umeme unaendelea kuzalishwa ambao kwa ujumla unafika Megawatts 1601.

Kwa mahesabu ya kawaida tu, kukamilika tu kwa Bwawa la Mwalimu Nyerere nchi yetu itakuwa na akiba na ziada ya umeme unaofikia mpaka Megawatts zaidi ya 1000. Hii ziada sasa baada ya kujihakikishia umeme wa kutosha ndani tutaamua wenyewe kuipiga hela nje na kama nilivyosema majirani zetu wote hawana umeme wa uhakika hivyo kuweka hela za kigeni kibindoni na kuzipeleka kwenye sekta zingine za uchumi na maendeleo.

Kwasasa hakuna kinachosimama kwenye kuendelea kuukamilisha mradi huu na chini ya Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kazi kubwa inaendelea kule Rufiji kuhakikisha Bwawa hili la kuzalisha umeme mkubwa kiasi hiki wa Megawatts 2,115 linakamilika.

Na kwa mujibu wa Rais Samia Suluhu Hassan wakati akiwa kwenye Hafla ya Utiaji Saini Mkataba wa mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa siku ya Jumanne, Disemba 28, 2021 alisema wazi kwamba hakuna kinachosimama kwenye miradi yote mikubwa kwa midogo nchi nzima kazi kubwa inaendelea kuikamilisha miradi yote.

Rais Samia alisema, ujenzi wa mradi huu mkubwa wa kufua umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere kazi kubwa inaendelea na unakwenda vizuri na mpaka sasa Serikali haidaiwi hata Senti 1 bali Serikali ndiyo inamdai kazi Mkandarasi tu.

Bwanku M Bwanku
bwanku55@gmail.com

IMG-20220316-WA0039.jpg

IMG-20220316-WA0038.jpg
 
Hizi akili kisoda huwa mumerithi kwa nani? Kukatikakatika kwa umeme hakusababishwi na umeme kuwa kidogo bali mifumo ya usambazaji kuchoka.

This has nothing to do with Bwawa
Na ndio hapo sasa wakaenda kuchukua ile taka na kuipa wizara nyeti km hiyo.
Mifumo itaendelea kuchoka km kazi inavyoendelea
 
Sawa, Samia, Kikwete, Maharage na Makamba ndio waliojenga hilo Bwawa sifa zote tutawapa nyie hata mliite Samia mkitaka lkn likamilike tu, hatutamuhusisha Magufuli (RIP) na chochote kama ndiyo woga wenu tutaficha vizazi na vizazi kwamba lilijengwa na Samia na Kikwete, lakini basi likamilisheni angalau tupate umeme sifa zote ni kwenu, Magufuli (RIP) alishaenda mna mambo mengi ya kufanya mapya hii nchi bado karibia kila kitu hakijafanywa na hakuna haja ya kupora kazi na ubunifu wa mtu, mbona hakuna mtu kapora substandard UDOM ? Sijawahi kusikia yoyote akisema udoma siyo ya Kikwete …
 
Lini litakamilika?
Na Bwanku M Bwanku.

Moja ya mradi mkubwa wa kimkakati unaotekelezwa na Taifa letu kwasasa ni Mradi wa kufua umeme kwa kutumia nguvu ya maji maarufu kama Mradi wa kufua umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere kwenye Mto Rufiji mkoani Pwani.

Mradi huu mkubwa kabisa wa kufua umeme kwa maji utazalisha takribani Megawatts 2,115 kutoka kwenye Mto Rufiji, mradi huu mkubwa kabisa wa kihistoria ulibuniwa na kuasisiwa na Rais wa Awamu ya kwanza wa Tanzania Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere toka mwaka 1975 na kuanza kutekelezwa na Serikali ya Awamu ya 5 chini ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na sasa unakamilishwa na Serikali ya Awamu ya 6 chini ya Rais Samia Suluhu Hassan.

Mradi huu ni mkubwa sana na ni wa 4 kwa ukubwa katika miradi ya kuzalisha umeme wa maji Barani Afrika ukitekelezwa kwa takribani Shilingi Trilioni 6.5.

Mpaka sasa na kwa Mujibu wa Waziri mwenye dhamana ya Wizara ya Nishati inayosimamia mradi huu Mhe. January Makamba, mradi umefikia asilimia 56 ya utekelezaji wake huku kazi kubwa ikiendelea usiku na mchana kuukamilisha mradi kwa kasi, uadilifu, ubora na viwango vinavyotakiwa. Mwaka Mmoja uliopita wakati Rais Samia anaingia madarakani mradi huu ulikuwa chini ya asilimia 40 ya utekelezaji wake lakini Mwaka Mmoja wa Rais Samia tayali umefikia asilimia 56 na Serikali mpaka sasa imeshalipa Trilioni 3.4 kwa Mkandarasi anayetekeleza mradi.

Tumesikia na wote tunajua habari ya ukubwa wa mradi huu, gharama ya utekelezaji, umeme unaoenda kuzalishwa na mambo mengine mengi sana kuuhusu mradi huo mkubwa wa Stieglers Gorge (Bwawa la Kufua Umeme la Mwalimu Nyerere) na leo wacha tuumulike mradi huu wa umeme wa maji, tujue idadi ya namba za Megawatts zinazokwenda kuzalishwa hapo na tafsiri yake kwa suala la umeme, kutibu uhaba na changamoto ya umeme nchini pamoja na maana yake kwa Watanzania na uchumi wetu.

Adhima ya utekelezaji wa mradi huu mkubwa kabisa wa kufua umeme inakuja wakati huu nchi ikiwa kwenye ujenzi wa uchumi wa viwanda, shindani na wenye kuleta maisha bora kwa watu ambao kwa kiwango kikubwa unategemea sana nishati ya umeme ya kuwezesha viwanda kupata nishati ya kutosha ili iweze kuzalisha vya kutosha na muhimu zaidi kwa gharama nafuu pamoja na shughuli zingine za watu.

Yote 9 lakini 10, licha ya yote ni wangapi tunaelewa tafsiri halisi ya Megawatts 2,115 za umeme zinazoenda kuzalishwa pale Mto Rufiji? kwa watu wa kawaida ambao si wataalamu wala wahandisi wanaelewa nini kuhusu Megawatts 2,115? twende sawa hapo chini.

Kwasasa toka tupate Uhuru mwaka 1961, nchi yetu nzima kutoka kwenye vyanzo vyetu vyote vya kuzalisha umeme vya Kinyerezi, Kidatu, Mtera, Nyumba ya Mungu na kwingine, tunazalisha Megawatts 1601 tu lakini Bwawa la Mwalimu Nyerere pekee yake linaenda kutupa Megawatts 2,115 za umeme wa uhakika tena wa maji ambao ni wa gharama nafuu zaidi kuliko aina yoyote ile ya umeme duniani ukiachana na umeme wa jua, upepo, nyuklia, makaa ya mawe, mafuta na gesi.

Kwa maelezo ya hapo juu pekee, nadhani utaelewa ukubwa na umuhimu wa mradi huu wa Mwalimu Nyerere.

Umeme unaozalishwa na maji ndio umeme wa gharama nafuu na rahisi zaidi kuliko umeme wowote ule duniani. Uniti 1 ya umeme inayozalishwa na maji ni shilingi 36 tu lakini umeme unaozalishwa na nyuklia Uniti 1 ni shilingi 65, umeme wa upepo shilingi 103.5, wa jua shilingi 103.5, wa makaa ya mawe Uniti 1 shilingi 114, wa joto ardhini 118, umeme wa gesi Uniti 1 shilingi 147 na wa mafuta ndio wa gharama kubwa zaidi ambao wenyewe Uniti 1 gharama yake ni juu sana kati ya shilingi 440 hadi 600.

Hii maana yake ni kwamba kukamilika kwa mradi huu wa Mwalimu Nyerere tutakuwa na Megawatts za umeme zaidi ya 3,000 wakati mahitaji yetu yakiwa hayazidi hayo na moja kwa moja kujihakikishia kama Taifa umeme wa kutosha na kuua hadithi za mgao wa umeme na uhaba wake, utakaolifanya Taifa kupitia Wananchi na Wawekezaji sasa kufanya shughuli zake za uzalishaji na zingine bila changamoto yoyote ile.

Lakini tafsiri yake nyingine ni kwamba, kukamilika tu kwa Bwawa hili la Mwalimu Nyerere la kuzalishaji wa umeme kwa kutumia maji kutashusha kwa kiwango kikubwa sana gharama ya umeme mpaka shilingi 36 tu kwa Uniti kutoka sasa ambapo Mtanzania anatumia zaidi ya shilingi 300 kununua Uniti 1 ya umeme, hivyo hapa moja kwa moja itatoa nafasi kwa bidhaa zetu za viwanda nazo kushuka sana, matumizi ya kawaida nyumbani kushuka maradufu na hata kwa watanzania watakaofungua viwanda vidogo kwa vikubwa wakinufaika sana na gharama ndogo ya uzalishaji wa bidhaa itakayoleta neema na nafuu mpaka kwa watu wa hali ya chini kabisa, machinga, mama nitilie, wajasiriamali na makundi mengine. Zaidi kuvutia uwekezaji.

Unapokuwa na umeme wa uhakika, lakini sio wa uhakika tu tena na wa gharama nafuu ya bei kama huu wa maji tunaokwenda kuzalisha kule Rufiji, tayali unavutia wawekezaji wengi zaidi kuja kujenga viwanda hapahapa. Suala la uhakika wa umeme na nafuu yake ni mambo ya msingi sana na ya kwanza kabisa kwa mwekezaji yeyote anayefikiri kwenda kuwekeza sehemu yoyote ile duniani kwasababu kiwanda ni nishati.

Kuzielewa zaidi Megawatts hizi 2,115 za pale Mwalimu Nyerere na ukubwa wake ni rahisi sana hata ukipitia na kujua matumizi ya umeme na mahitaji ya umeme kwa taifa letu. Mfano mwepesi tu ni kwamba mahitaji halisi ya umeme kwa mikoa kama ya Mtwara na Lindi ili umeme usikatike hata sekunde ni Megawatts 22 hadi 30 tu.

Tanzania ina mikoa 31, hivyo ukifanya kila mkoa upate Megawatts 50 tu kama makadirio ya juu kabisa hata kwa mikoa isiyozidi matumizi hayo maana yake ni sawa na kupeleka bahari ya umeme kila mkoa na bado matumizi yetu tutaishia Megawatts 1,550 na bado zitabaki Megawatts 565 kama akiba ya umeme tuliyoiweka kibindoni. Bado hiyo Megawatts 50 kiwastani hata ukijumlisha mikoa yenye viwanda vingi na vikubwa kama Pwani, Dar es Salaam, Arusha, Tanga na Mwanza bado ni kubwa sana. Nimeweka kwa kiwango cha Juu sana usisahau matumizi ya Mtwara na Lindi ni Megawatts 22- 30 tu.

Ina maana kwa Bwawa la Mwalimu Nyerere tu la kuzalishaji umeme, tunaenda kuua kabisa stori za mgao wa umeme na mambo ya umeme kukatikakatika pamoja na gharama za umeme kuwa juu. Hapo wenye viwanda vikubwa, vya kati na vidogo kabisa watazalisha bidhaa zao bila tatizo na zaidi kwa gharama nafuu kwasababu ya urahisi wa gharama kwa umeme huu wa maji.

Vipi umefikilia hizo Megawatts zingine zaidi ya 500 ambazo tunakuwa tumezitia kibindoni baada kujihakikishia uhakika wa umeme nchi nzima kutoka kwenye vyanzo vyetu mbalimbali vya kuzalisha umeme? Hapo tunaweza kuamua kuuza kwa majirani zetu hapo Kenya, Malawi, Uganda au Msumbiji ambako tunajua bado hawana uhakika wa umeme. Hapo unazungumza kuhusu umeme wa Rufiji tu, hujaenda Kinyerezi, Kidatu, Mtera, Nyumba ya Mungu na kwingine ambako umeme unaendelea kuzalishwa ambao kwa ujumla unafika Megawatts 1601.

Kwa mahesabu ya kawaida tu, kukamilika tu kwa Bwawa la Mwalimu Nyerere nchi yetu itakuwa na akiba na ziada ya umeme unaofikia mpaka Megawatts zaidi ya 1000. Hii ziada sasa baada ya kujihakikishia umeme wa kutosha ndani tutaamua wenyewe kuipiga hela nje na kama nilivyosema majirani zetu wote hawana umeme wa uhakika hivyo kuweka hela za kigeni kibindoni na kuzipeleka kwenye sekta zingine za uchumi na maendeleo.

Kwasasa hakuna kinachosimama kwenye kuendelea kuukamilisha mradi huu na chini ya Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kazi kubwa inaendelea kule Rufiji kuhakikisha Bwawa hili la kuzalisha umeme mkubwa kiasi hiki wa Megawatts 2,115 linakamilika.

Na kwa mujibu wa Rais Samia Suluhu Hassan wakati akiwa kwenye Hafla ya Utiaji Saini Mkataba wa mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa siku ya Jumanne, Disemba 28, 2021 alisema wazi kwamba hakuna kinachosimama kwenye miradi yote mikubwa kwa midogo nchi nzima kazi kubwa inaendelea kuikamilisha miradi yote.

Rais Samia alisema, ujenzi wa mradi huu mkubwa wa kufua umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere kazi kubwa inaendelea na unakwenda vizuri na mpaka sasa Serikali haidaiwi hata Senti 1 bali Serikali ndiyo inamdai kazi Mkandarasi tu.

Bwanku M Bwanku
bwanku55@gmail.com

View attachment 2153629

View attachment 2153630
 
Project ambayo wazungu walitumia mbinu nyingi kuipinga, kidume kikakomaa. Na alivyokuwa enterprenuer alianzisha parrarel projects za transmission lines zenye thamani ya mabilioni ambazo nyingine zimekamilika kuunganisha nchi zinazotuzunguka ili umeme siyo tuutumie kwa bei ndogo ndani ya nchi, bali pia tuuze kwa bei ya soko kwa nchi zinazotuzunguka! Alikuwa ni mchumi aswaa.
 
HIzi porojo za umeme kukatika ni historia zilianza toka enzi za umeme wa gas.
 
H

Hizi hadithi tamu tulizisikia sana wakati wa gesi ya Mtwara. Baadae matumaini yote yakayeyuka
 
Na Bwanku M Bwanku.

Moja ya mradi mkubwa wa kimkakati unaotekelezwa na Taifa letu kwasasa ni Mradi wa kufua umeme kwa kutumia nguvu ya maji maarufu kama Mradi wa kufua umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere kwenye Mto Rufiji mkoani Pwani.

Mradi huu mkubwa kabisa wa kufua umeme kwa maji utazalisha takribani Megawatts 2,115 kutoka kwenye Mto Rufiji,

Mradi huu mkubwa kabisa wa kihistoria ulibuniwa na kuasisiwa na Rais wa Awamu ya kwanza wa Tanzania Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere toka mwaka 1975 na kuanza kutekelezwa na Serikali ya Awamu ya 5 chini ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na sasa unakamilishwa na Serikali ya Awamu ya 6 chini ya Rais Samia Suluhu Hassan.

Mradi huu ni mkubwa sana na ni wa 4 kwa ukubwa katika miradi ya kuzalisha umeme wa maji Barani Afrika ukitekelezwa kwa takribani Shilingi Trilioni 6.5.

Mpaka sasa na kwa Mujibu wa Waziri mwenye dhamana ya Wizara ya Nishati inayosimamia mradi huu Mhe. January Makamba, mradi umefikia asilimia 56 ya utekelezaji wake huku kazi kubwa ikiendelea usiku na mchana kuukamilisha mradi kwa kasi, uadilifu, ubora na viwango vinavyotakiwa.

Mwaka Mmoja uliopita wakati Rais Samia anaingia madarakani mradi huu ulikuwa chini ya asilimia 40 ya utekelezaji wake lakini Mwaka Mmoja wa Rais Samia tayali umefikia asilimia 56 na Serikali mpaka sasa imeshalipa Trilioni 3.4 kwa Mkandarasi anayetekeleza mradi.

Tumesikia na wote tunajua habari ya ukubwa wa mradi huu, gharama ya utekelezaji, umeme unaoenda kuzalishwa na mambo mengine mengi sana kuuhusu mradi huo mkubwa wa Stieglers Gorge (Bwawa la Kufua Umeme la Mwalimu Nyerere) na leo wacha tuumulike mradi huu wa umeme wa maji, tujue idadi ya namba za Megawatts zinazokwenda kuzalishwa hapo na tafsiri yake kwa suala la umeme, kutibu uhaba na changamoto ya umeme nchini pamoja na maana yake kwa Watanzania na uchumi wetu.

Adhima ya utekelezaji wa mradi huu mkubwa kabisa wa kufua umeme inakuja wakati huu nchi ikiwa kwenye ujenzi wa uchumi wa viwanda, shindani na wenye kuleta maisha bora kwa watu ambao kwa kiwango kikubwa unategemea sana nishati ya umeme ya kuwezesha viwanda kupata nishati ya kutosha ili iweze kuzalisha vya kutosha na muhimu zaidi kwa gharama nafuu pamoja na shughuli zingine za watu.

Yote 9 lakini 10, licha ya yote ni wangapi tunaelewa tafsiri halisi ya Megawatts 2,115 za umeme zinazoenda kuzalishwa pale Mto Rufiji? kwa watu wa kawaida ambao si wataalamu wala wahandisi wanaelewa nini kuhusu Megawatts 2,115? twende sawa hapo chini.

Kwasasa toka tupate Uhuru mwaka 1961, nchi yetu nzima kutoka kwenye vyanzo vyetu vyote vya kuzalisha umeme vya Kinyerezi, Kidatu, Mtera, Nyumba ya Mungu na kwingine, tunazalisha Megawatts 1601 tu lakini Bwawa la Mwalimu Nyerere pekee yake linaenda kutupa Megawatts 2,115 za umeme wa uhakika tena wa maji ambao ni wa gharama nafuu zaidi kuliko aina yoyote ile ya umeme duniani ukiachana na umeme wa jua, upepo, nyuklia, makaa ya mawe, mafuta na gesi.

Kwa maelezo ya hapo juu pekee, nadhani utaelewa ukubwa na umuhimu wa mradi huu wa Mwalimu Nyerere.

Umeme unaozalishwa na maji ndio umeme wa gharama nafuu na rahisi zaidi kuliko umeme wowote ule duniani. Uniti 1 ya umeme inayozalishwa na maji ni shilingi 36 tu lakini umeme unaozalishwa na nyuklia Uniti 1 ni shilingi 65, umeme wa upepo shilingi 103.5, wa jua shilingi 103.5, wa makaa ya mawe Uniti 1 shilingi 114, wa joto ardhini 118, umeme wa gesi Uniti 1 shilingi 147 na wa mafuta ndio wa gharama kubwa zaidi ambao wenyewe Uniti 1 gharama yake ni juu sana kati ya shilingi 440 hadi 600.

Hii maana yake ni kwamba kukamilika kwa mradi huu wa Mwalimu Nyerere tutakuwa na Megawatts za umeme zaidi ya 3,000 wakati mahitaji yetu yakiwa hayazidi hayo na moja kwa moja kujihakikishia kama Taifa umeme wa kutosha na kuua hadithi za mgao wa umeme na uhaba wake, utakaolifanya Taifa kupitia Wananchi na Wawekezaji sasa kufanya shughuli zake za uzalishaji na zingine bila changamoto yoyote ile.

Lakini tafsiri yake nyingine ni kwamba, kukamilika tu kwa Bwawa hili la Mwalimu Nyerere la kuzalishaji wa umeme kwa kutumia maji kutashusha kwa kiwango kikubwa sana gharama ya umeme mpaka shilingi 36 tu kwa Uniti kutoka sasa ambapo Mtanzania anatumia zaidi ya shilingi 300 kununua Uniti 1 ya umeme, hivyo hapa moja kwa moja itatoa nafasi kwa bidhaa zetu za viwanda nazo kushuka sana, matumizi ya kawaida nyumbani kushuka maradufu na hata kwa watanzania watakaofungua viwanda vidogo kwa vikubwa wakinufaika sana na gharama ndogo ya uzalishaji wa bidhaa itakayoleta neema na nafuu mpaka kwa watu wa hali ya chini kabisa, machinga, mama nitilie, wajasiriamali na makundi mengine. Zaidi kuvutia uwekezaji.

Unapokuwa na umeme wa uhakika, lakini sio wa uhakika tu tena na wa gharama nafuu ya bei kama huu wa maji tunaokwenda kuzalisha kule Rufiji, tayali unavutia wawekezaji wengi zaidi kuja kujenga viwanda hapahapa.

Suala la uhakika wa umeme na nafuu yake ni mambo ya msingi sana na ya kwanza kabisa kwa mwekezaji yeyote anayefikiri kwenda kuwekeza sehemu yoyote ile duniani kwasababu kiwanda ni nishati.

Kuzielewa zaidi Megawatts hizi 2,115 za pale Mwalimu Nyerere na ukubwa wake ni rahisi sana hata ukipitia na kujua matumizi ya umeme na mahitaji ya umeme kwa taifa letu.

Mfano mwepesi tu ni kwamba mahitaji halisi ya umeme kwa mikoa kama ya Mtwara na Lindi ili umeme usikatike hata sekunde ni Megawatts 22 hadi 30 tu.

Tanzania ina mikoa 31, hivyo ukifanya kila mkoa upate Megawatts 50 tu kama makadirio ya juu kabisa hata kwa mikoa isiyozidi matumizi hayo maana yake ni sawa na kupeleka bahari ya umeme kila mkoa na bado matumizi yetu tutaishia Megawatts 1,550 na bado zitabaki Megawatts 565 kama akiba ya umeme tuliyoiweka kibindoni.

Bado hiyo Megawatts 50 kiwastani hata ukijumlisha mikoa yenye viwanda vingi na vikubwa kama Pwani, Dar es Salaam, Arusha, Tanga na Mwanza bado ni kubwa sana.

Nimeweka kwa kiwango cha Juu sana usisahau matumizi ya Mtwara na Lindi ni Megawatts 22- 30 tu.

Ina maana kwa Bwawa la Mwalimu Nyerere tu la kuzalishaji umeme, tunaenda kuua kabisa stori za mgao wa umeme na mambo ya umeme kukatikakatika pamoja na gharama za umeme kuwa juu.

Hapo wenye viwanda vikubwa, vya kati na vidogo kabisa watazalisha bidhaa zao bila tatizo na zaidi kwa gharama nafuu kwasababu ya urahisi wa gharama kwa umeme huu wa maji.

Vipi umefikilia hizo Megawatts zingine zaidi ya 500 ambazo tunakuwa tumezitia kibindoni baada kujihakikishia uhakika wa umeme nchi nzima kutoka kwenye vyanzo vyetu mbalimbali vya kuzalisha umeme?

Hapo tunaweza kuamua kuuza kwa majirani zetu hapo Kenya, Malawi, Uganda au Msumbiji ambako tunajua bado hawana uhakika wa umeme. Hapo unazungumza kuhusu umeme wa Rufiji tu, hujaenda Kinyerezi, Kidatu, Mtera, Nyumba ya Mungu na kwingine ambako umeme unaendelea kuzalishwa ambao kwa ujumla unafika Megawatts 1601.

Kwa mahesabu ya kawaida tu, kukamilika tu kwa Bwawa la Mwalimu Nyerere nchi yetu itakuwa na akiba na ziada ya umeme unaofikia mpaka Megawatts zaidi ya 1000. Hii ziada sasa baada ya kujihakikishia umeme wa kutosha ndani tutaamua wenyewe kuipiga hela nje na kama nilivyosema majirani zetu wote hawana umeme wa uhakika hivyo kuweka hela za kigeni kibindoni na kuzipeleka kwenye sekta zingine za uchumi na maendeleo.

Kwasasa hakuna kinachosimama kwenye kuendelea kuukamilisha mradi huu na chini ya Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kazi kubwa inaendelea kule Rufiji kuhakikisha Bwawa hili la kuzalisha umeme mkubwa kiasi hiki wa Megawatts 2,115 linakamilika.

Na kwa mujibu wa Rais Samia Suluhu Hassan wakati akiwa kwenye Hafla ya Utiaji Saini Mkataba wa mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa siku ya Jumanne, Disemba 28, 2021 alisema wazi kwamba hakuna kinachosimama kwenye miradi yote mikubwa kwa midogo nchi nzima kazi kubwa inaendelea kuikamilisha miradi yote.

Rais Samia alisema, ujenzi wa mradi huu mkubwa wa kufua umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere kazi kubwa inaendelea na unakwenda vizuri na mpaka sasa Serikali haidaiwi hata Senti 1 bali Serikali ndiyo inamdai kazi Mkandarasi tu.

Bwanku M Bwanku
bwanku55@gmail.com

View attachment 2153629

View attachment 2153630
Kwani gas ya kusini kusafirisha hadi mitambo ya umeme Dar mlisemaje?Au mnadhani tumesahau
 
Hizi akili kisoda huwa mumerithi kwa nani? Kukatikakatika kwa umeme hakusababishwi na umeme kuwa kidogo bali mifumo ya usambazaji kuchoka.

This has nothing to do with Bwawa

Sababu nyepesi za kiswahili zinazoweza kutolewa na mtu asiyejua umeme akidhani kuwa umeme husafiri kwenye njia kama barabara ambayo ikizeeka, basi inasababisha usafiri kuwa mgumu pia kwa vile magari yanakuwa yanaenda pole pole.

Unataka kutuambia kuwa impedances za transmission lines zimeongezeka kiasi kuwa umeme hauwezi kusafiri tena?
 
Kukatika Umeme hakuhusiani na Uzalishaji wa Umeme..
Tatizo liko kwenye njia za usambazaji
 
Back
Top Bottom