Bwana yule atavuna alichokipanda

tajirijasiri

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
2,864
3,851
Bwana yule kuna mengi amepanda na anaendelea kupanda:-

1. Amenunua ndege kwa fedha taslim.(cash). High risk.

2. Anajenga SGR kwa fedha taslim (cash). High risk.

3. Anajenga stigler's gorge mbadala wa Umeme wa Gas.

4. Hajapandisha mishahara ya watumishi, akipigania wanyonge.

5. Analinda amani ya nchi kupitia nguvu za jeshi la Polisi.

6. Amezuia shughuli za kisiasa mpaka 2020.

7. Hataki wakosoaji kwa sababu ni wasaliti. Hawatabaki salama.

8. Ameanzisha vitambulisho vya wamachinga visivyo na majina. Wanapokezana.

9. Matajiri wameshafanywa lolote. Aliahidi ametekeleza.

10. Wapinzani wengi wamemuunga mkono kwa gharama ya walipakodi. Kurudia uchaguzi.

Atavuna alichopanda.
 
Rubbish
 
Mbona wewe ni kama "salary slip"?,umebadili user?

Very imbecile thread from sane parson

Ujinga ni mtaji wa ukawa

Fine, kila mtu ana namna ya kuendesha mambo yake si lazima afuate template iliyo kichwani kwako!
 
Back
Top Bottom