Bwana Mjanjamjanja jijini Dar es Salaam: Papaa Msofe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bwana Mjanjamjanja jijini Dar es Salaam: Papaa Msofe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Philip Mlay, Nov 13, 2011.

 1. P

  Philip Mlay Member

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu Bwana Amekuwa na Tabia ya kunyanganya wananchi na wakazi wa Dar es Salaam Ardhi zao kwa kutumia nguvu ya Pesa hivi huyu bwana ni nani katika Jamii kiasi cha kujiaminisha hivyo Sheria iko wapi Tanzania? ana issue mbalimbali na naona Polisi wanamfumbia sana Macho sijui ni kamshahara anachowalipa?
   
 2. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  kuna mtu anajiita flora msoffe cjui wanaundugu?
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaaa alikuwa na kesi ya kudhurumu eneo pale kijitonyama sijui wamefikia wapi,wazungu washamstukia na yeye anataka kuendekeza sifa za kutaja kwenye band na hela hana so inabidi awadhurumu wabongo
   
 4. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  Huyu bwana pamoja na wenzake naona kama wako juu ya sheria ktk nchi hii, na sijui nguvu hizi wanazipata wapi? tuwe macho watz!!! nchi hii ishauzwa bana!!!!!!!!
   
 5. king'amuzi

  king'amuzi JF-Expert Member

  #5
  Nov 13, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  siyo nguvu yake anakivuli cha mkubwa maana jamaa bonge la katili cjapata ona.kuzulumu mtu kwake ni secunde tu.
   
 6. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #6
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  Lisipokupata leo basi jiandae kesho!
   
 7. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #7
  Nov 14, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  huyu sijui pedeshee amewahi kunikuta rose garden akadhania ningempapatikia. kaniamia heti yuko tayari kunipa 5million nilale naye. sijui anazania watu washenzi na wapumbavu kama yeye na midhaabu shingoni utafikiri ngombe. hutu wangu uai wangu, niutupe kwa sababu ya million 5? kwa kupata magonjwa ya ajabu? wala sishangai tabia za huyu mtu. anavyomwaga hela, polisi hawawezi kumkamata
   
 8. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #8
  Nov 14, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Kuna ripoti nyeti zinazo igusa ikulu nitaileta hapa soon! Na yeye yumo ni mtu muhimu sana kwa shughuli binafsi za magogoni!!
   
 9. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #9
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  mkuu twaisubiri kwa hamu hiyo riport
   
 10. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #10
  Nov 14, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Mkuu nakuaminia!! Hii nchi kila mtu anasumbua anavyoweza kwenye nafasi yake badala ya kuwatumikia watu na nchi yetu.
   
 11. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #11
  Nov 14, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,576
  Likes Received: 12,860
  Trophy Points: 280
  acha majungu weye
   
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  Nov 14, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,427
  Likes Received: 22,347
  Trophy Points: 280
  Huyu bwana kaiweka serikali ya rais {made in Bagamoyo} mfukoni mwake, na anapita akijigamba kuwa hamna mtu wa kumfanya kitu.
   
 13. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #13
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hujajibu wangu!
   
 14. N

  Ndoano Senior Member

  #14
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 187
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Huyo cha mtoto kuna mmoja anaitwa mr mushi kadhulumu viwanja sana maeneo ya mikocheni msasani na kijitonyama na kadhalika,ninachoshangaa serikali inanyamaza wakati iliapa kutetea maslahi ya wanyonge.umaskini unazidi kila kukicha kwa sababu ya matajiri matapeli kuwadhulumu angalau wanataka kujitoa kwenye umaskini...ikitaka ccm ifanikiwe ingeanza na hawa kwanza kwa kuwapeleka jela na sio kujivuaa gamba..wa kina mama wajane wanadhulumiwa kila siku ardhi zao .
   
 15. m

  maliyamungu JF-Expert Member

  #15
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 481
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Acha kujipa promo.musofe hana stahili hizo za kumtangazia mwanamke dau bar. Then kama unakalili mapedeshee wanavaa macheni musofe avai cheni. Changia mada sio kujipa promo.
   
 16. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #16
  Nov 14, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Labda kachanganya na gasho macheni kwa msofe mashne yake haina nguvu so hawezi kukutangazia uhuru1 dau lote hilo
   
 17. m

  mariavictima Senior Member

  #17
  Nov 14, 2011
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mungu atamlipa kwa dhuluma zake kwa wajane.
   
 18. L

  Lsk Senior Member

  #18
  Nov 14, 2011
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ....tuletee hiyo ripoti kaka,tuko standby ONLINE tunaisubiria. Tujuze!!
   
 19. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #19
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  umejitahidi ila isiwe ukawa unajutia maamuzi yako lakini!!!wewe una bahati unahaidiwa 5m unakataa wenzako wanakopwa.......
   
 20. Fullfigadiva J

  Fullfigadiva J Member

  #20
  Nov 14, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu Mushi kazulumu sana viwanja vya watu alitumia mgongo wa ndugu yake wa ARDHI. Hawawezi kumsulubu maana MASTERS wanakwenda mpaka makamishna wa polisi kupata bia baridi na kucheki mpira.
   
Loading...