Bwana Masele mbunge wa Shinyanga.. CV yake tafadhari.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bwana Masele mbunge wa Shinyanga.. CV yake tafadhari..

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sexologist, Apr 29, 2012.

 1. sexologist

  sexologist JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 2,296
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 135
  Namkubali sana huyu jamaa... na kwa fununu naskia yu miongoni mwa mawaziri watarajiwa.. namfahamu au kumsikia kupitia bungeni.. Napenda nimjue kiundani.. wadau mwenye kumfahamu zaidi au mwenye CV yake ya ukweli pliiz anianikie hapa niisomw na kwa faida ya wengine pia.
   
 2. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Wewe mbumbumbu ndiyo Masele mwenyewe unajifanya eti unamuulizia eti Masele, yaani unajipigia debe tu hapa. Wala wana JF musichangie hiyo mada
   
 3. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Mkuu unamjua kumbe!!
   
 4. N

  NYADUNDO New Member

  #4
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CV yake:1.2010 alimshinda mgombea wa CHADEMA kwa tofauti ya kura 1,mgombea wa CHADEMA alikata rufaa aka RIP. 2. Kanumba alionyesha nia kugombea 2015 aka RIP.3.Wote wanaoonyesha tofauti naye wna RIP
   
 5. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Masele ni inhumane, alipora haki ya wapiga kura 2010 kwa nguvu akishirikana na polisi na viongozi wengine wa kimagamba. Go to hell Masele ...
   
 6. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  jamaa jembe sana yule
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  cv yake ya nini? Unataka kumuajiri?
   
 8. Cheche Mtungi

  Cheche Mtungi JF-Expert Member

  #8
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,487
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Mh hii ndio jamii forum,umemjuaje wakati anatumia nickname?au ulimsaidia kufungua acc JF?kaaazi kwellkweli!
   
 9. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #9
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  fedha za campaign aliiba tigo, mi bado nna machungu naye sana! ni mwizi mkubwa! walimtoa mpaka kwenye magazeti.
   
 10. sexologist

  sexologist JF-Expert Member

  #10
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 2,296
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 135
  wadau punguzeni jazba... mi sio masele.. au kuna sehemu nimejidisclose... nilichoomba ni CV yake waungwana.. naona wengi wanamshutumu illogically... hivyo naona hakuna amjuae..

  so anafaa kwa uwaziri wa Biashara na Viwanda.. au JK ampe UWaziri wa hela...
   
 11. M

  Mchokozi JF-Expert Member

  #11
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mwizi kwanza hata jimboni kwake hakai, hajawahi hata kufanya mikutano na wanachi toka achaguliwe, ni muoga lakini kwa kunanihiii ma'changu anaongoza...... nafikiri inatosha kupatia ajira
   
 12. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #12
  May 4, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Huyu naye ameshinda kesi na ataukwaa uwaziri. Duh nchi hii tunachezewa kweli kweli
   
Loading...