Bukombe na Kahama mwenye data atupe jamani!!
Nasikia mzee mapesa kapasua
na kwa chenge
Naskia Chenge amepotezwa ila kuna dalili ya fitna kwani matokeo yanacheleweshwa bila sababu ya msingi.
habari nilizopata toka bariadi sasa hivi bwana mapesa anaongoza bado kata chache wanamalizia kuhesabu nitawapa matokeo muda si mrefu.pia bariadi mashariki hali si shwari kwa ccm.:israel: