Elections 2010 Bwana mapesa John Cheyo vipi Bariadi?

popiexo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
742
182
Matokeo ya Bariadi jamani mwenye Kujua kinachoendelea huko amwage data
 
Naskia Chenge amepotezwa ila kuna dalili ya fitna kwani matokeo yanacheleweshwa bila sababu ya msingi.

kipindi kilichopita nasikia alimwibia yule wa UDP Manjoba. Na wasipoangalia CHADEMA mwaka huu atafanya hivyo tena
 
habari nilizopata toka bariadi sasa hivi bwana mapesa anaongoza bado kata chache wanamalizia kuhesabu nitawapa matokeo muda si mrefu.pia bariadi mashariki hali si shwari kwa ccm.:israel:
 
habari nilizopata toka bariadi sasa hivi bwana mapesa anaongoza bado kata chache wanamalizia kuhesabu nitawapa matokeo muda si mrefu.pia bariadi mashariki hali si shwari kwa ccm.:israel:

Thanks for info and welcome to JF.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom