Bwana Kangi Lugola, wewe ni Kijito Maalimu Seif Sharifu Hamadi ni Bahari kwenye siasa za Tanzania

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
10,526
13,014
kuwa mtu wa kupima maneno.mbali na cheo umri pia umekupa mkono.
uliyoyaongea jana kule unguja yanaonesha ulivyomchanga kwenye historia ya siasa za nchi ile. yani unaenda kumtisha maalimu kumuweka ndani? hujui kwamba zanzibar siasa ni zaidi ya imani huku bara? ati utaanza na mwenye sharubu? hivi nawe akikujibu kwa kutukana utaenda kwa msajili .
ulisema kuna watu wameanza kufanya siasa wakimsumbua rais wa zanzibar? hivi yule bashiru kule chemba alienda kama nani na kufanya nini? kule mbeya wameandamana mbona hujasema?
kwa taarifa tu ni kwamba maalim ameporwa ushindi kwa vipindi vitano mfululizo tena kweupe. ivi ungekuwa wewe na kiswahili chako kibovu si ungeua watu wewe?
visiwani kuna moto msiutie mafuta. unaweza kuwambia wazanzibar 2015 kwann uchaguzi ulifutwa na jecha? au unadhan wamesahau?
mmefuta/piga marufiku shughuli za kisiasa kwa USHAMBA WENU hamjafuta kisheria unapowambia watu wasifanye siasa uwe basi unafanya hata marejeo ya sheria ni sheria gani hiyo?
unapomuagiza commissioner wakati kuna IGP Inamanisha nn?
unaposema utaanza kumpiga mwenye sharubu unataka wapemba wajisikieje?
unaposema kuna watu wanamzuia sheini kufanya kazi mbona speaker ndugai alikuwa unguja kukagua sijui nn za ccm? au yeye sio mwanasiasa?
Pamoja na kasoro nyingi za kihaiba ulonazo wewe na aliyekuweka hapo lakini jirekebishe.acha kuendelea kuwagawa watu.mlipofika panatosha!
 
Lugola na aliyemteua wako juu ya sheria. Ndiyo maana wanatoa matamko na amri zilizo nje ya matakwa ya sheria na katiba kwa ujumla na hawfanywi chochote.

Ushindi wa Maalim Seif umeporwa na hakuna walichofanywa. Na Shein anatamba anavyotaka huko Zanzibar.

Yule bwana mkubwa aliyemteua Lugola kuwa waziri wa mambo ya ndani ni mungu MTU. Ndiyo maana hata Lugola pia anafanya na kusema atakalo.
 
Hata kama wako juu ya Sheria staha ni muhimu kange sawa na mtoto kwa maalimu,labda tu kama ametaka ajibiwe ili amtafutie sababu ya kumuweka ndani,yule ni mzazi mlezi na ana wafuasi kumkosea staha ni kutowatendea haki watu wake.Wangejaribu kutofautisha matakwa binafsi na ya kisheria.
 
Tatizo lenu wa zanzibar mnapoanza matus wa bara wanatembeza kipigo maana wao hawajazoea kutukana na. Na hapo wa bara wanasema " wapigwe tu..maana hamna namna" kumtukana lugola ni kuchochea moto si akili hata kidogo... Shauri yenu msije sema hamkuambiwa.

Magozi hayo wasamehe tu sheikh. Inshaallah
 
Hata kama wako juu ya Sheria staha ni muhimu kange sawa na mtoto kwa maalimu,labda tu kama ametaka ajibiwe ili amtafutie sababu ya kumuweka ndani,yule ni mzazi mlezi na ana wafuasi kumkosea staha ni kutowatendea haki watu wake.Wangejaribu kutofautisha matakwa binafsi na ya kisheria.

Mkuu uko sahihi lakini siasa za kiafrika bila machafuko hakuna kuheshimiana, na kitendo cha CUF kuporwa ushindi na kutumia njia za kistaarabu kudai ndio zimewaponza. Viongozi wa kiafrika ustaarabu kwao huuita ni kuufyata. Nakuhakikishia Lugola anaweza kumuweka ndani Seif na akamchampa vibao juu, siasa za kikondoo kwa Afrika huwa hazilipi. Mtu hata kama humuwezi pigana naye atakuheshimu. Alaaniwe aliyeingiza siasa za kikondoo ndani ya upinzani.
 
Tatizo lenu wa zanzibar mnapoanza matus wa bara wanatembeza kipigo maana wao hawajazoea kutukana na. Na hapo wa bara wanasema " wapigwe tu..maana hamna namna" kumtukana lugola ni kuchochea moto si akili hata kidogo... Shauri yenu msije sema hamkuambiwa.
LUGOLA alisema atanza na mwenyesharubu ni nani ...Mumeo!! au alikuwa anaimba mapambio?
?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama wako juu ya Sheria staha ni muhimu kange sawa na mtoto kwa maalimu,labda tu kama ametaka ajibiwe ili amtafutie sababu ya kumuweka ndani,yule ni mzazi mlezi na ana wafuasi kumkosea staha ni kutowatendea haki watu wake.Wangejaribu kutofautisha matakwa binafsi na ya kisheria.
Wao wanapenda kutenda yanayo waumiza wapinzani wao mioyo. Kwahiyo kama ww umeumizwa na kauli ya Kqngi kwa Maalim Seif, hayo ndiyo mafanikio yenyewe.
 
Kiswahili chake kigumu sana kukielewa huyo bwana Kungu Lugola. Ukishakuwa ccm unakuwa brain dead
 
Kuna njia nzuri ya kupata jibu... Mwwnye sharubu afanye alichokatazwa aone moto wake sasa... Maana hii haitakuwa mara ya kwanza watu kutembezewa kipigo cha mbwa koko au paka jizi... Mtu afanye tukama anajikuna masharubu au ndevu kama fagio la chooni aone moto wake... Hapo tutapata jibu kama atakuwa mumeo wewe unayelia au mimi ambaye nme relax tu...
😃😃😃
LUGOLA alisema atanza na mwenyesharubu ni nani ...Mumeo!! au alikuwa anaimba mapambio?
?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna njia nzuri ya kupata jibu... Mwwnye sharubu afanye alichokatazwa aone moto wake sasa... Maana hii haitakuwa mara ya kwanza watu kutembezewa kipigo cha mbwa koko au paka jizi... Mtu afanye tukama anajikuna masharubu au ndevu kama fagio la chooni aone moto wake... Hapo tutapata jibu kama atakuwa mumeo wewe unayelia au mimi ambaye nme relax tu...
Kwa mtazamo wako wazanzibar wanaogopa vitisho vya watanganika jamii ya kina lugola?zanzibar itasimama hata mje na silaha za kinyukilia hawarudi nyuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu uko sahihi lakini siasa za kiafrika bila machafuko hakuna kuheshimiana, na kitendo cha CUF kuporwa ushindi na kutumia njia za kistaarabu kudai ndio zimewaponza. Viongozi wa kiafrika ustaarabu kwao huuita ni kuufyata. Nakuhakikishia Lugola anaweza kumuweka ndani Seif na akamchampa vibao juu, siasa za kikondoo kwa Afrika huwa hazilipi. Mtu hata kama humuwezi pigana naye atakuheshimu. Alaaniwe aliyeingiza siasa za kikondoo ndani ya upinzani.
Wakenya wamatupatia somo tosha sasa wanaheshimiana kweli kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom