MERCIFUL JF-Expert Member Oct 17, 2011 2,759 3,033 Oct 29, 2021 #2 Daaah! Hata sijui ningefanya nini. Ila nisingepoteza muda kama bibi harusi kwa kuchungulia na kushangaa tukio!
Daaah! Hata sijui ningefanya nini. Ila nisingepoteza muda kama bibi harusi kwa kuchungulia na kushangaa tukio!
MERCIFUL JF-Expert Member Oct 17, 2011 2,759 3,033 Oct 29, 2021 #3 DeepPond said: Huyu bwana harusi Ni Muhuni Click to expand... 🤣 Mhuni Mbobezi katika fani
DeepPond JF-Expert Member Nov 18, 2017 40,445 99,034 Oct 29, 2021 Thread starter #4 MERCIFUL said: Daaah! Hata sijui ningefanya nini. Ila nisingepoteza muda kama bibi harusi kwa kuchungulia na kushangaa tukio! Click to expand... Kofi lingemuhusu?
MERCIFUL said: Daaah! Hata sijui ningefanya nini. Ila nisingepoteza muda kama bibi harusi kwa kuchungulia na kushangaa tukio! Click to expand... Kofi lingemuhusu?
DeepPond JF-Expert Member Nov 18, 2017 40,445 99,034 Oct 29, 2021 Thread starter #5 MERCIFUL said: Mhuni Mbobezi katika fani Click to expand... Jamaa Hana adabu kabisa
MERCIFUL JF-Expert Member Oct 17, 2011 2,759 3,033 Oct 29, 2021 #6 DeepPond said: Kofi lingemuhusu? Click to expand... + Ngwala, makwenzi, vibao, ngumi....
W wakaliwetu JF-Expert Member Jul 16, 2020 671 1,129 Oct 29, 2021 #7 Mlafi hawezi acha mpaka siku yakuingia kaburini.
Fall Army Worm JF-Expert Member Jan 8, 2015 19,331 14,257 Oct 30, 2021 #8 MERCIFUL said: Daaah! Hata sijui ningefanya nini. Ila nisingepoteza muda kama bibi harusi kwa kuchungulia na kushangaa tukio! Click to expand... Ungefanyaje Sasa? Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
MERCIFUL said: Daaah! Hata sijui ningefanya nini. Ila nisingepoteza muda kama bibi harusi kwa kuchungulia na kushangaa tukio! Click to expand... Ungefanyaje Sasa? Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app